Inapatikana wapi?Huu mti jina sijui ila wengine wanaita mhadarati kama sijakosea. Unavimatunda vinapendwa sana na popo ila ni mazuri sana kwa wagonjwa wa kisukari. Huwa inashusha sukari na kuifanya iwe normal. Unakula vitunda vilivyojaa kiganja.View attachment 1275038
Huu mti jina sijui ila wengine wanaita mhadarati kama sijakosea. Unavimatunda vinapendwa sana na popo ila ni mazuri sana kwa wagonjwa wa kisukari. Huwa inashusha sukari na kuifanya iwe normal. Unakula vitunda vilivyojaa kiganja.View attachment 1275038
Kwenye vitalu vya mitiHuo mti unapatikana wapi au matunda yake huuzwa wapi?