Msaada naomba kujua hizi ni dalili za ugonjwa gani .

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
646
945
wakuu nimekua nikisumbuliwa na vichomi mara kwa mara maeneo ya chini ya kitovu kwa pembeni (kwenye mitoki) upande wa kulia na kushoto yani huwa kinachoma upande mmoja baadae upande mwingne,,

alafu wakati mwingne nikiwa nafanya mapenzi nikipiga tu bao hasa bao la pili,,napata maumivu makali ya tumbo (chini ya kitovu) panakua pananyonga sana na misuli ya uume inakua inauma sana na uume unakua kama una ganzi flan hivi hali hiyo uume kuuma haiachi mpaka uume ulegee ndio napata nafuu nabaki na maumivu ya tumbo,ambayo nayenyewe yanapotea baada ya muda
 
Ndugu yng muone specialist mapema sn! Humu sijui kama utapata jibu la moja kwa moja kwamba itakuwa ugonjwa gani?
 
Ufanyaji wako ukoje,maana yale mambo ya magoli mengi au ufanyaji wa kila siku wakati mwingine husababisha maumivu kwenye epididymis...
 
Vumbi la Congo ndo sababu mkuu,madhara take ndo yameanza kuonekana
 
Ufanyaji wako ukoje,maana yale mambo ya magoli mengi au ufanyaji wa kila siku wakati mwingine husababisha maumivu kwenye epididymis...
ufanyaji wang wa kawaida na sio kila siku nakaa wiki hadi wiki,,na mwisho ni bao tatu tu
 
Acha kutumia dawa izo za sex stimulant huenda ikawa ndo sababu. Wewe ni kijana jiamini uanaume wako fanya sex kawaida tu bila hizo dawa, alafu uje utuambie.
Hayo maumivu yanaashiria una fanya kuliko kawaida labda kwa mda mrefu Sana au kwa nguvu nyingi Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom