Supu ya pweza kwa wanawake inasaidia nini?

Supu ya pweza kwa wanawake inasaidia nini?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Nipo hapa Zanzibar naona kuna ligi ya kuagiza supu ya pweza kati ya wanawake na wanaume. Hapa kwa muuzaji kuna wanawake wengi kuliko wanaume.

Naomba siri ya supu ya pweza kwa wanawake? Sijui kama kuna nguvu za kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom