Kwa dalili hizi nimuone Dokta gani na nichukue kipimo gani?

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,059
2,104
Habari zenu wakuu,

Jinsia yangu me umri 30

Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi:

Hii hali nna miaka nayo 6 ila sasa imekua siriasi
Kuna kipindi niligoogle hizi dalili, nikatumia dawa za neorotone, nilipata nafuu, ila nilipoacha kutumia hizo dawa tatizo likarudi

-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)

-Uchovu wa mwili na akili (usingizi mzito)

- Kukosa Umakini na Kujiamini

- Uwezo hafifu wa kufikiri na kuhifadhi kumbukumbu (hata ndoto zangu sizikumbuki)

Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Najiona kabisa siko kama zamani , Msaada wa mawazo ni dokta au vipimo gani vitanifaa
Samahani kwa kuwachosha
===

MAONI YA WADAU:

-Uchovu wa mwili na akili (usingizi mzito)

- Kukosa Umakini na Kujiamini

- Uwezo hafifu wa kufikiri na kuhifadhi kumbukumbu (hata ndoto zangu sizikumbuki

****Mkuu uchovu wa akili, unakufanya uwe na uwezo hafifu wa kufikiri na hii inakuondolea kujiamni ungeenda hospital ufanyiwe full check up,usitumie Google..lol...mie sio daktari ila nahisi una kisukari...na pia hauko confident na afya yako..ndio maana unaona mawenge wenge...suspicious ..Muone doctor and once ukiwa in control na physical health yako...utaona symptoms hizo nyingine (Mental)..zita subdises
--------------

Rebeca 83, Respect sana kwako.

Nimekuelewa vizuri uliposema aache kuangalia google na kwamba hayupo cofident na afya yake.

Kuna kitu kwa kiingereza wanaita "Hypochondriasis" ambao ni uoga wa ugonjwa kutokana na kuona dalili ndogo za ugonjwa na mtu akakamilisha akilini kwamba tayari anao huo ugonjwa.Mtu mwenye hypochondriasis hata kikohozi kidogo tu kinaweza kumfanya apate msongo wa mawazo akiamini ana TB.Hali hii ikiendelea huleta msongo wa mawazo na hayo aliyoyataja mleta maada hutokea.

Mojawapo ya kitu kinachowafanya watu wapate hii kitu ni kujipima magonjwa kupitia google.

Dalili zake ni kama
1.Ni kusoma mtandaoni mara kwa mara kuhusu dalili za ugonjwa anaohisi anao.
2.Kujikagua mwili mara kwa mara kuhakikisha kama una dalili za ugonjwa huo.
3.Kupima mara kwa mara ugonjwa huo hata Kama majibu yametoka kwamba hauna (negative)
4.Wengine huogopa kwenda kupima kwa uoga kwamba atakutwa na huo ugonjwa.

Wataalamu wanashauri kama mtu ana hili tatizo aache kusoma google habari kuhusiana na dalili za magonjwa na aache kujikagua kagua mwili.Sometimes misuli kukaza na kusikia maumivu ya misuli huwa ni normal body sensation.
-------------
Ukiwa muwazi na mkweli hasa juu ya suala la matumizi ya hisia kali katika mapenzi (PUNYETO) amini nakuambia utasahau kama uliwahi kuwa na tatizo hilo.
Chakufanya
- acha kabisa punyeto (kuoa hakumpelekei mtu kuacha punyeto)
- penda sana kutafuna Nazi,karanga mbichi na hata kunywa maziwa fresh.
- piga mazoezi kadri uwezavyo
- acha kukaa mpweke (kajichanganye na wenzio)
- punguza kutumia internet kwa muda mrefu (kwani viashawishi vingi vya kupiga punyeto huanzia kwenye mitandao ya kijamii)

NIMEKUPA USHAURI HUO KWA SABABU DALILI ULIZOTAJA NI DALILI KUU KWA MATEJA WA PUNYETO
 
HIV sina ndugu nishapima mara nyingi labda nikapime TB
Mazoezi nafanya kila siku yaani nimekua mtu wamazoezi tu, nikikosa siku moja naumia
Asante kwa ushauri
Pima damu TB na HIV vinakuwa na dalili hizi.

Hatua ya pili ni kufanya mazoezi na kumuona psychiatrist au neurologist kama ni matatizo ya ubongo
 
-Uchovu wa mwili na akili (usingizi mzito)

- Kukosa Umakini na Kujiamini

- Uwezo hafifu wa kufikiri na kuhifadhi kumbukumbu (hata ndoto zangu sizikumbuki

****Mkuu uchovu wa akili, unakufanya uwe na uwezo hafifu wa kufikiri na hii inakuondolea kujiamni ungeenda hospital ufanyiwe full check up,usitumie Google..lol...mie sio daktari ila nahisi una kisukari...na pia hauko confident na afya yako..ndio maana unaona mawenge wenge...suspicious ..Muone doctor and once ukiwa in control na physical health yako...utaona symptoms hizo nyingine (Mental)..zita subdises
 
Ni picha kama x rays, CT scan ila inaonyesha clear
MRI ndo nini mkuu
f34534065b840f38dcea513603a38e2d.jpeg
 
Rebeca 83, Respect sana kwako.

Nimekuelewa vizuri uliposema aache kuangalia google na kwamba hayupo cofident na afya yake.

Kuna kitu kwa kiingereza wanaita "Hypochondriasis" ambao ni uoga wa ugonjwa kutokana na kuona dalili ndogo za ugonjwa na mtu akakamilisha akilini kwamba tayari anao huo ugonjwa.Mtu mwenye hypochondriasis hata kikohozi kidogo tu kinaweza kumfanya apate msongo wa mawazo akiamini ana TB.Hali hii ikiendelea huleta msongo wa mawazo na hayo aliyoyataja mleta maada hutokea.

Mojawapo ya kitu kinachowafanya watu wapate hii kitu ni kujipima magonjwa kupitia google.

Dalili zake ni kama
1.Ni kusoma mtandaoni mara kwa mara kuhusu dalili za ugonjwa anaohisi anao.
2.Kujikagua mwili mara kwa mara kuhakikisha kama una dalili za ugonjwa huo.
3.Kupima mara kwa mara ugonjwa huo hata Kama majibu yametoka kwamba hauna (negative)
4.Wengine huogopa kwenda kupima kwa uoga kwamba atakutwa na huo ugonjwa.

Wataalamu wanashauri kama mtu ana hili tatizo aache kusoma google habari kuhusiana na dalili za magonjwa na aache kujikagua kagua mwili.Sometimes misuli kukaza na kusikia maumivu ya misuli huwa ni normal body sensation.
 
Uswahili huo man Kama muislam mtafute Sheikh upate kisomo na dawa za kiswahili km mkristo hivohivo.

Yalinikuta hayo kizunguzungu, jasho, uchofu, kichwa kuuma Sana , mgongo km nimebeba Dunia nilimaliza vi hospital zote za home miezi minne nikajiongeza kwa Sheikh kumbe uswahili
 
Nimekupm mkuu
Uswahili huo man Kama muislam mtafute Sheikh upate kisomo na dawa za kiswahili km mkristo hivohivo.

Yalinikuta hayo kizunguzungu, jasho, uchofu, kichwa kuuma Sana , mgongo km nimebeba Dunia nilimaliza vi hospital zote za home miezi minne nikajiongeza kwa Sheikh kumbe uswahili
 
Ukiwa muwazi na mkweli hasa juu ya suala la matumizi ya hisia kali katika mapenzi (PUNYETO) amini nakuambia utasahau kama uliwahi kuwa na tatizo hilo.
Chakufanya
- acha kabisa punyeto (kuoa hakumpelekei mtu kuacha punyeto)
- penda sana kutafuna Nazi,karanga mbichi na hata kunywa maziwa fresh.
- piga mazoezi kadri uwezavyo
- acha kukaa mpweke (kajichanganye na wenzio)
- punguza kutumia internet kwa muda mrefu (kwani viashawishi vingi vya kupiga punyeto huanzia kwenye mitandao ya kijamii)

NIMEKUPA USHAURI HUO KWA SABABU DALILI ULIZOTAJA NI DALILI KUU KWA MATEJA WA PUNYETO
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom