Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,680
Wasalaam,
Wataalamu wa afya: Mie nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 22 kwa sasa.
Tatizo|Sijui sio tatizo hana tabia ya kutoka jasho hata pale atakapofanya mazoezi au kazi ngumu hata iwe juani.
Pamoja ya yote huyu mdogo angu tunaishi naye hapa Dar es salaam, pamoja na kulalamika uwepo wa joto la Dar lakini kwake muda wote ni hali ya kawaida yenye ubaridi kwa mbali.
Lakini mkojo wake unatoa harufu mbaya sana.
Nauliza, Jehili ni tatizo/ Ugonjwa?
Kama ni Ugonjwa dawa yake ni ipi?
Nawasilisha.