Bati limemkata wife kwenye kidole msaada wa huduma ya kwanza

MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,855
4,368
Naomba msaada wa nini cha kufanya bati limemkata mama watoto kwenye kidole
Rejea picha
IMG_20190915_113917.jpeg
 
Duh! Inatisha.
Pole sana.
Kidonda kifunge na kitambaa kisafi vizuri ili damu isiendelee kutoka, wahi hospitali faster, huko watasafisha fresh kitaalamu na huenda hata wakapashona kabisa leo leo ikiwa utawahi mapema, na nahisi hata sindano sijui ya tetenasi au nini huenda akachomwa.
 
JF kuna watu wapumbavu sana kama mtoa mada, yn tatizo limetokea badala ya kwenda hosptal et unapost hapa. jaribuni ku-behave kama watu wazima wenye kujielewa.
 
Hilo dole gumba lako mbona kama lina weusi fulani hivi kama uke wa wale wavuta mjani maana kile kipisi cha mwisho kabisa kwenye kushika huwa kinafanya vidole viwe na ukungu huo
Kazi maalum mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom