Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Samahani naomba msaada wa mawazo au kama Kuna mtu amewahi pitia Hali Kama yangu anisaidie maana Nina miaka mitatu saivi sili chakula vizuri maana naweza ingia mgahawani au hata nikipika nakula...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Hii ni hali inayotokea pale yai la kike lililorutubishwa linaposhindwa kufika na kwenda kujipachika kwenye mji wa uzazi (uterine cavity) hivyo kusababisha mimba kutungwa na kukua kwenye mirija ya...
3 Reactions
17 Replies
18K Views
Homemade face masks can help limit the spread of coronavirus - but they do have downsides, according to a new study. Seven types of face masks were put to the test by the University of Edinburgh...
1 Reactions
0 Replies
825 Views
Watalamu mbalimbali wa masula ya afya wameeleza ya kwamba ipo haja kubwa sana kwa wanaume kuacha kula baadhi ya vyakula ili kuweza kuyazuia madhara ambayo nimeyaeleza katika Makala haya, kwani...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
How to treat coronavirus symptoms at home There is currently no specific treatment for coronavirus (COVID-19), but you can often ease the symptoms at home until you recover. Treating a high...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu, kama mtu anasafisha meno yake mara 3 kwa siku lakini bado yana rangi ya 'njano' na sio meupe! UFAFANUZI NA MICHANGO KUTOKA KWA WADAU Watu wengine wakiona rangi ya 'njano'...
0 Reactions
408 Replies
228K Views
Meno yangu mengi yana rangi ya kahawia na baadhi yametoboka toboka. Ingawa najitahidi kudumisha usafi wa kinywa kwa kutumia dawa za kawaida za meno inaelekea yanaendelea kutoboka, kumeguka na...
0 Reactions
48 Replies
46K Views
Meno ni muhimu kwa muonekano na sura nzuri. Memo hutusaidia katika kuongea na kuwa na mawasiliano ya kueleweka. Kikubwa zaidi meno ni muhimu katika mfumo wa chakula. Afya ya kinywa na meno...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari wadau, Niende moja kwa moja kwenye mada takriban tangia korona ianze kumekuwa na visa vya watu mbalimbali kuugua na wengine kupoteza maisha katika nchi mbalimbali duniani ila...
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Habari wanaJF, Kuna mdogo wangu ana tatizo la kigugumizi cha kuongea kiasi kwamba hawezi kuzungumza bila kujipigapiga au kuruka!!Ningependa kujua chanzo cha tatizo hili na pia tiba yake kama...
4 Reactions
158 Replies
76K Views
habari zenu jamani, Naombeni mnifahamishe iwapo nitamtolea mtu figo. Je, mimi naweza nikaishi kwa aman bila shda yoyote? Na haitakua na madhara yoyote kwa upande wangu? Naomben ufafanuzi tafadhali
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wapendwa mabibi na mabwana. Habari za kazi Madaktari na Wauguzi Kwa miaka nenda miaka rudi wanawake wasipopata ujauzito, lawama zote wamekua wakitupiwa wao. Hi ni mbaya Sana kwa sababu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya jumatatu, Napenda kufahamu alipo Dr mzuri kwa hapa Dar ambaye anaweza kutahiri mtoto mdogo kuanzia mwaka nakuendelea. Nitashukuru sana.
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Imeandaliwa na @doktamathew Huu ni ugonjwa wa virusi unaoenezwa na mbu aina ya Aedes aegypti na Aedes albopictus. Neno chikungunya limetoholewa kutoka neno la kimakonde(kun-kunyala) ambalo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana. Hapa kuna mpangaji mwenzangu alilala mchana huu, kaamka moyo wake unaenda mbio kweli, je nini nifanye kiweze kumsaidia kwa muda huu tukiangalia njia nyingine ya kufanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tatizo litakuwa ni nini hasa nikianza mazoezi ya kukimbia (jogging) napata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya kiuno nikitembea inakuwa kawaida hakuna maumivu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi huyu mwanamke toka nimempata hataki nimpige kiss, denda na hata tukiongea huwa anaziba pua. Sasa jana tumekosana ndo kanambia domo langu linatoa harufu kama choo, nikaishwa...
11 Reactions
72 Replies
19K Views
City docs say prolonged suppression of HIV, no longer needing transfusions for patient, now 20, are huge positives; say this is first such success in whole world In a major breakthrough — and...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo. Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo...
3 Reactions
322 Replies
245K Views
Wakuu, Kuna ugonjwa huu unaitwa Coronavirus, nasikia unaambukizwa kwa njia ya hewa. Tayari umeua watu wawili ambao ni watu ninaowafahamu. Take care guys. ================================== A...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom