Je kuna dawa ya kusafisha na kutibu meno yaliyooza?


JIWE2

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
124
Likes
5
Points
35

JIWE2

Senior Member
Joined Sep 17, 2010
124 5 35
Meno yangu mengi yana rangi ya kahawia na baadhi yametoboka toboka. Ingawa najitahidi kudumisha usafi wa kinywa kwa kutumia dawa za kawaida za meno inaelekea yanaendelea kutoboka, kumeguka na kuvunjika. Naomba yeyote mwenye ujuzi anisaidie kujua dawa itakayoweza kutakatisha na kutibu meno yangu. Natanguliza shukrani.
 

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2008
Messages
373
Likes
2
Points
0

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2008
373 2 0
Pole sana ndugu. Nashauri umwone Dentist akupe ushauri wa kitabibu. Ikishindikana tumia dawa inayoitwa Forever Bright tooth gel. Inapatikana kwa wasmbazaji wote wa Forever Living Products.
 

faithful

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2010
Messages
378
Likes
9
Points
35

faithful

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2010
378 9 35
Meno yangu mengi yana rangi ya kahawia na baadhi yametoboka toboka. Ingawa najitahidi kudumisha usafi wa kinywa kwa kutumia dawa za kawaida za meno inaelekea yanaendelea kutoboka, kumeguka na kuvunjika. Naomba yeyote mwenye ujuzi anisaidie kujua dawa itakayoweza kutakatisha na kutibu meno yangu. Natanguliza shukrani.
pole sana jiwe2 kwanza kabisa jitahidi na usafi zaidi kwa dawa nzuri zaidi na hata ukichoka vipi usilale bila kupiga mswaki.
pili kuna matibabu ya meno kusafisha jino hadi jino kama limeoza kabisa dokta atalingoa kama bado au limeharibika kidogo atasafisha na kuziba.kwa yale yaliyoharibika kabisa ni vema utoe tu kwani si afya kuwa na meno mabovu kinywani...............nishashuhudia mtu kupata kansa ya kinywa na nilisononeka sana na ukumbuke kuna meno ya bandia km jino ulilongoa lipo mbele.
baada ya tiba utashauriwa kufika hospitali baada ya muda fulani either miezi 3 au sita.ukifata maelekezo ytakuwa na meno yenye afya nzuri tu
plz usiende hospitali za mitaani.chagua hosp moja kubwa ya binafsi hata ya serikali!ukishatibiwa ni pm nikutajie dawa zingine za asili.
 
Joined
Aug 16, 2010
Messages
76
Likes
1
Points
13

Dedii

Member
Joined Aug 16, 2010
76 1 13
hii kitu kama nilishaisoma humu jf, hata hivyo baking soda inayotumika katika mandaz nk, tumia kublash kwa mswaki. kama ni rangi sana fanya x2 kwa siku, meno yatakuwa white kama ya mtoto ila haitibu inasafisha. ila uwe mvumilivu ina ladha mbaya.
 

Visenti

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
1,031
Likes
19
Points
133

Visenti

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2008
1,031 19 133

Kokubanza-G

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
111
Likes
8
Points
35

Kokubanza-G

Senior Member
Joined Oct 2, 2013
111 8 35
Jamani nisaidien wapendwa meno yangu yameoza mno
pole,ila nna tatzo la meno km lako lkn mi hayajatoboka sana ni kama ma2.Fata ivi
Tumia iyo dawa ya forever living uiangalie kama itakusaidia koz iz dawa si unajua tena kwa mfano mim imenikataa kabisa na ikanibid nitumie dawa ya meno za GNLD ni ya maji.
Pili,piga mswaki vizuri na haswa ukimaliza kula chakula la usku.
Tatu,acha kutumia vtu vya sukar kama biscut,na v2 vnavogandia ktk meno kama karanga,pia uspnde kula nyama ngumu,hakikisha imelainika ili kuepuka kuivutavuta na kutafunatafuna ili yasimeguke.
Then nenda ukayaweke risasi hospital(ukayazibe) yanayowezekana utakua poa tu ila mashart hayo yote yafate .
 

master eagle

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
343
Likes
3
Points
0

master eagle

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
343 3 0
Unamkuta mtu ni kijana/msichana mzuri tu wa kuvutia cha kushangaza ngoja acheke.
ha ha ha ha utadhani amengata mchanga.
ww pimbi kweli wenzako wanatafuta tiba ww unaleta matani na madhrau humu utakuja mcheka mama yako siku akijamba mbele ya yako akuvulie nguo uruke uchizi
 

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
55,076
Likes
33,405
Points
280

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
55,076 33,405 280
ww pimbi kweli wenzako wanatafuta tiba ww unaleta matani na madhrau humu utakuja mcheka mama yako siku akijamba mbele ya yako akuvulie nguo uruke uchizi
Nimependa ujumbe na jina ulilompa. Watu wengine wamekuwa binadamu kwa bahati mbaya.
 

Forum statistics

Threads 1,204,867
Members 457,581
Posts 28,173,857