Samahani naomba msaada wa mawazo au kama Kuna mtu amewahi pitia Hali Kama yangu anisaidie maana Nina miaka mitatu saivi sili chakula vizuri maana naweza ingia mgahawani au hata nikipika nakula kidogo sana na hamu ya kula inaisha kabisa.
Na kujikuta naacha chakula chote kwa ufupi ni kuwa njaa haiumi kwenda kula najilazimisha maana naweza kaa asubuhi mpaka jioni bila kula na njaa isiume kabisa na hata ikiuma nikienda kula nakula Kama naonja then chakula naacha Tena naombeni msaada kwa wazoefu wa haya mambo
Sent using Jamii Forums mobile app