Nini kilipelekea wewe kupima HIV?

Nini kilipelekea wewe kupima HIV?

Nilikutana na mwanamke fulani bila kutumia kondomu baada ya muda nikaanza kutokwa na Ute Ute mweupe usioisha kwenye dhakari yangu ndipo nilipogundua nilikuwa na UTI sugu pamoja na gonorrhea, ndipo nilipochukua jukumu la kupima na HIV nikakuta negative , nikasubiri siku 90 za window period namshukuru Mungu nilikuwa negative
 
Pole.muwe mnachukua tahadhari.
Watu.wanaumwa
 
P. Acne. Aise niliona dalili zote za ngoma kwenye ngozi. Ikabidi nimwelezee daktari halafu nikamwambia anipime magonjwa yote ya zinaa ikiwemo ngoma. Nilikuwa nilishaikubali hali kuwa hii itakuwa ngoma tu.

Majibu yalivyotoka daktari akaniambia nipunguze vitu vya mafuta na sukari ndio hali najiona narudi vizuri ngozi yangu.
 
Poleeee
 
Hiyo itakuwa umeme+++. Dakitari aliacha kukuambia kwa kuwa alikuona ungemletea mtiti
 
Mimi sijawahi kupima kwa hiyari yangu. Mara ya kwanza nilichangia damu, baada ya muda waliturudishia majibu ya vipimo walivyochokua kwenye damu. Mara ya pili nilikuwa naumwa tu homa ya kawaida, dokta akasema tunakuchukua kipimo, hata sio kuniuliza 😁😁 hivi ndio wanapimaga hivyo jamani
 
Mara zote nilizopima ni matokeo ya zambi , maya ya mwisho nilikaa na hofu mwezi mzima, nikasema hii gharama ni kubwa sana nitulie tu
 
Mimi sijawahi kupima kwa hiyari yangu. Mara ya kwanza nilichangia damu, baada ya muda waliturudishia majibu ya vipimo walivyochokua kwenye damu. Mara ya pili nilikuwa naumwa tu homa ya kawaida, dokta akasema tunakuchukua kipimo, hata sio kuniuliza 😁😁 hivi ndio wanapimaga hivyo jamani
Haaa.
We muoga
 
Unaweza ukafa na pressure,kumbe hofu tu.
Mi.pia hofu ilitaka niua 🤣🤣
 
Nikiwa na mami mpya lazima tupime wote tena kwa wivu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom