VIDONDA VYA TUMBO

VIDONDA VYA TUMBO

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,755
Reaction score
2,660
Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) ni Ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijidudu au mchubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula michubuko hiyo huweza kujitokeza katika eneo la mfuko wa utumbo katika eneo la koo

Inakadiriwa kuwa asilimia 5 hadi 10 ya watu hupatwa na ugonjwa huu angalau mara moja katika maisha yao.

Kama Unasumbuliwa na dalili zifuatazo basi utakuwa unasumbuliwa na vidonda vya tumbo

1=Gesi na miungurumo
2=Kiungulia
3=Acid reflux/asidi kwa wingi
4=Tumbo kuwa moto
5=Kupumua kwa shida
6=Kichefu chefu
7=Mgongo, kiuno, na maumivu
8=Hofu na kukosa usingizi
9=H/pylori
10=Kukosa hamu ya kula
11=Ganzi
12=Kupungukiwa nguvu za kijinsia
13=Choo kukatika kama mbuzi
14=Vichomi na kuhara damu
15=Kutapika
16=Shida ya kutopata mimba
 
Back
Top Bottom