Habari za asubuhi Wana JF natumaini wengi ni wazima wa afya wengine tunachangamoto ndogondogo za kiafya .Ngoja niende moja kwa moja kwenye shida yangu.
Toka jumamosi jioni nahisi maumivu ya...
Kama kichwa cha habari kinavyooneka,kuna ndugu yangu ana tatizo la pneumonia limemsumbua muda mrefu na hajapata relief au kupona japo ametumia dawa kadhaa km amoxilin,amoxiclave(spelling huenda si...
Habari wanajukwaa hili la Afya.
Nina dada ambaye anasumbuliwa sana na hali ya kubanwa na pumzi na kushindwa kuongea. Mara ya kwanza alinitumia sms kuwa halu yake ni mbaya anashindwa kupumua na...
Binafsi naamini ulaji wa kachumbari iliyoandaliwa na mtu nisiyemfahamu ni kukaribisha magonjwa ya kuambukiza. Ikiwa muandaaji si msafi au kwa ajali amejikata wakati wa kuandaa na ukizingatia...
Habari Wana JF.
Tunajua shahawa zina contain elements nyingi zikiwemo protini na sugari.
Sugar na protein kila Moja inafaida katika mwili wa binadamu, kwa upande wa sugar YENYEWE hutupa nguvu...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa TZ.
Nilikutana na mwanamke kimwili kuanzia tarehe 20 mpaka 23 yaani alikuja getho tukawa pamoja kwa siku hizo.
Ila anadai aliingia period...
Habarini za Asubuhi wanajamvi?
Matumaini yangu mtakuwa mpo salama.
Ndugu yangu alipata misukosuko hii ni baada ya yeye kukamata na police katika harakati za maisha.
Walimpiga sana kwenye miguu...
Hello jf doctors,
Kuna jamaa kapata accidents hapa,Sasa katika maelezo ya daktari tunaambiwa mfupa was sikio la jamaa umesagika sasa, shida yangu ni kuelewa je, sikio lina mfupa?
Uso wangu upo rafu sana..nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina ila bado mambo bado,hata za kumeza pia kama fluconazole,itraconazole lakini mba unaisha na uso unakaa vizuri...
Habari wanajamvi?
Mke wangu amekuwa anasumbuliwa sana na kuwashwa sehem zake za siri, na kuna kipindi ilifikia akawa anatoa uchafu mweupe una harufu mbaya. Baada ya kufatilia ikaonekana ni...
Naomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan...
Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya...
Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo...
Salaam Wana jukwaa,
Sikio langu la kushoto zaidi ya wiki Sasa linakua Kama linapiga kengele,utadhani nimewekewa wale wadudu wanaitwa nyenze(wale ambao zamani utotoni tulikua tunawakamata na...
Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara.
Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida.
Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua...
Wiki moja na nusu nyuma niliumwa na nnge nikamuona kabisa nikamuua nikaendelea na mishe zangu Mimi ni fundi ujenzi ndo kazi yangu si unajua tena ukiwa kitu kinakupata mara kwa Mara huwa huna wasi...
Upandikizaji wa uroto ni tiba ngeni katika nchi zetu za ukanda au bara la Afrika na kwasasa unapatikana nchini kwetu.
Uroto ni nini?
Uroto ni tishu zinazo patikana katika mifupa mirefu kwenye...
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya upasuaji wa hernia ya kifua anisaidie.
Pia hospital ya uhakika wanayoweza kufanya huo upasuaji
Should You Hold in Your Farts?
Medically reviewed by Cynthia Taylor Chavoustie, MPAS, PA-C — Written by Erica Cirino on May 20, 2020
Is it bad or healthy?
Side effects of holding it in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.