mtungu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2021
- 271
- 437
Wiki moja na nusu nyuma niliumwa na nnge nikamuona kabisa nikamuua nikaendelea na mishe zangu Mimi ni fundi ujenzi ndo kazi yangu si unajua tena ukiwa kitu kinakupata mara kwa Mara huwa huna wasi wasi maana si mara ya kwanza kuumwa siku tano nyuma hali yangu ikawa mbaya sana
Usiku nikiwa nimelala homa kali lilinijia joto kali na baridi sana mtoki ukawa umevimba sana na unauma balaa nilikuwa na michubuko kwenye miguu nikajua ndo sababu.
Nikatibu michubuko yote maana Mimi hata niwe na vidonda vipi nikipaka pipiefu vinakauka haraka sana ila nikaona hali inazidi kuwa mbaya nikaenda hospitali nikamuelezea Daktari akanichoma shindano ila bado mguu umevimba na mtoki unauma kwa mbali , homa pia kwa mbali nalisikia, mate yanajaa sana mdomoni
Msaada anayejua dawa zaidi yakuweza kunisaidia.