Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Poleni na majukumu wataalam. Nina ndugu yangu kalazwa ila ana upungufu wa damu ila hataki kuongezewa damu naweza kumfungulia kesi na ikitokea doctor kamwongezea kwa lazima sheria itamlindaje doctor.
0 Reactions
4 Replies
864 Views
Habari wana jf ningependa kuuliza kidogo Hivi kwa mfano mwanamke awe na tatizo la homone imbalance linalomsababishia kuanza hedhi mapema huku siku nyingine ikikata mapema baada ya siku 2-3 na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ndugu zanguni samahanini humu najua kunamadokta na wataalam wa afya,naomba kueleweshwa, Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa, akienda hospitali...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habr gani Wana jamvi? Natumai mu wazima wa afya........ Leo napenda kushire nanyi Jambo hili ambalo nahisi wengi Lita washangaza kidogo. Nianze kwa kuwasumilia kidogo matukio kadhaa ambayo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari, Naomba msaada mimi nikikojoa mwishoni zinatoka shahawa na hapo uume unakuwa haujasimama na wala sina hisia za mapenzi kabisa kwa wakati huo. Je, ni ugonjwa niwahi hospitali au lah maana...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Maziwa ya ng’ombe ni mojawapo ya chakula kilicho na virutubisho vingi vinavyofaa kwa afya ya binadamu. Pamoja na ubora wake huu, aina hii ya maziwa haifai kwa mtoto mwenye umri chini ya mwaka...
5 Reactions
4 Replies
5K Views
Ntaman kujua chakula anacho takiw kula mtu baada ya kufanyiwa operation ya tumbo
0 Reactions
2 Replies
497 Views
Wataalam wanashauri unywaji maji mengi, lakini ukweli ni kwamba yaweza kuwa hatari kubwa. - Yadaiwa maji huongeza uwezo wa kufikiri na kupunguza maumivu ya kichwa - Wataalamu wanahoji athari za...
12 Reactions
61 Replies
43K Views
Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia...
18 Reactions
16 Replies
14K Views
Habari za muda wakuu. Nimesikia mitafaruku kadhaa mtaani inayotokana na wanandoa kupata watoto wa jinsia moja. Pia, nimesikia mara nyingi sana watu wakizungumzia ni mtoto/watoto wa jinsia gani...
2 Reactions
78 Replies
17K Views
Habari waungwana, Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Faida ya Mafuta Ya Zaituni Olive Oil kwenye nywele. 1. Yanasaidia kufanya mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri kwenye ngozi ya kichwa na kupenyeza hadi kwenye shina ya nywele kisha kuifanya...
0 Reactions
8 Replies
30K Views
Wakuu Heshima kwenu, Naomba msaada wa kuelekezwa ama kufahamishwa ni wapi naweza kupata Dakrari bingwa wa macho Mkoani Mwanza. Nina mwanangu wa kiume umri wa miaka 5 anasumbuliwa na macho kuliko...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanangu wameugua mapunye (vibarango) na nimetumia dawa nyingi bado naona hawaponi. Nitumie dawa gani ambayo haishindwi? SAME CASES: Wakuu kwa wale wataalamu naomba endapo kuna dawa kiboko ya...
1 Reactions
122 Replies
209K Views
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi...
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa! Mara nyingi navyojua kikohozi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wana JF mwanangu yamemtoka mapele ya ajabu, Wife amempeleka hospital Jmosi na anatumia dawa Ila bado vinamtoka Naombeni msaada wenu Kwa anaeujua huu ugonjwa vizuri. Wengine wanasema ni...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu wa jamvi, Naomba kwa wenye uelewa wa kutosha juu ya aina nzuri ya mashine za kupima sukari anijuze. Nimeshanunua mara kadhaa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na One Touch (Select Simple) na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu.. Bila kupoteza muda naomba twende kwenye mada, jina langu naitwa Juma Sangoma umri wangu miaka 30. Kuna tatizo moja linanisumbua sana, Kila nikishiriki mapenzi na mwenza...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom