Kachumbali si salama

Kachumbali si salama

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,355
Reaction score
2,261
Binafsi naamini ulaji wa kachumbari iliyoandaliwa na mtu nisiyemfahamu ni kukaribisha magonjwa ya kuambukiza. Ikiwa muandaaji si msafi au kwa ajali amejikata wakati wa kuandaa na ukizingatia chakula hiki hakipiti kwenye moto basi usalama kiafya hupungua kwa walaji.
 
Kweli kabisa mimi huwa silagi zaidi ya kwangu au mtu naemwamin.
 
Sasa wanazilankende mdudu bila kachumbalii itakuwajee wanazengoo hiiiiiiii...mashkolo mageni
 
Back
Top Bottom