Wife ana kibendiKwa Nini mkuu
Hajaoa uyo bado[emoji4][emoji116]Wife ana kibendi
Wanaitanaga wife hata kama hawajaoanaHajaoa uyo bado[emoji4][emoji116]View attachment 2151652
Dah sio poa mkuu Yani bado Yuko chuo alaf anaishi kwao Yan kichwa kinapata motoHajaoa uyo bado[emoji4][emoji116]View attachment 2151652
Hiyo mbona sio Changamoto ya msingi kukuzuia wewe kumuoaDah sio poa mkuu Yani bado Yuko chuo alaf anaishi kwao Yan kichwa kinapata moto
Mngetumia kinga, majuto mjukuu.Dah sio poa mkuu Yani bado Yuko chuo alaf anaishi kwao Yan kichwa kinapata moto
Fanya mpango sasa ukajitambulishe kwao ufate taratibu zote muhimu umuoe.Inatokea tu mkuu siku amboyo hutarajii kabisa
Ni mwanafunzi wa Shule ya msingi ujue huyo anayepimwaHongera