Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati
Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa.
Awali kulikuwa na tatizo la...
Respberry ni aina ya matunda yenye umbo dogo na yenye kufanana na strawberry [emoji526].Mara Hujuotea yenyewe porini au vichanakani Lakini pia mmea huu unaweza kuoteshwa nyumbani kwako.
Ni...
Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa...
Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya...
Wadau, mwanaume ambae ameshakuwa shoga, yaani yeye alikuwa anaingiliwa tu. Huwa kuna tiba ya kumtoa huko?
Nilisikia kama mwanaume kaingiliwa, halafu kamwagiwa ndani, zile manii zinatakiwa...
ntakuwa likizo mwezi ujao wa sita , naomba msaada ni wapi ntapata tiba ya tatizo langu la pua kutonusa harufu, ipo hivi nilizaliwa mzima wa afya na pua zangu zilikuw zinafanya kazi sawa sawa...
Umuhimu wa maji katika mwili wa binadamu ni mkubwa sana tofaut na binadamu tunavyochukulia,watu wengi wanakunywa maji kwa mazoea,inashangaza watu hawajui maji ndio kinywaji cha kwanza kuubwa na...
Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3.
Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu.
Kwa yeyote anayejua tiba mbadala ya typhoid please naomba msaada.Nikisema mbadala namaanisha matunda,mizizi,mimea ama vyakula.
Bwana Yesu asifiwe.
===============
Homa ya matumbo
Homa ya...
Kazi iendelee! Hodi JamiiHealth.
Mimi ni mweupe kimuonekano, shida yangu ni unjano wa nywele zangu hali inayonikosesha raha na kujikuta naona aibu mno.
Naonekana kama age go fulani kwa sababu...
Kusikilizwa kwa sauti za kifua (Chest auscultation) hutumika kubainisha sauti za pumzi na milio ya sauti ya upumuaji. Sauti za kawaida za kupumua huitwa 'vesicular', hufafanuliwa kuwa tulivu kama...
Wasalamu, watabibu.
Naomba kujuzwa haki ya mgonjwa na wajibu wa mtoa huduma. Hili jambo limetokea mara kadhaa ktk dispensary moja hivi na inaonekana ndio utaratibu wao, naomba mamlaka wenye kujua...
Msaada wa tiba ya mba kichwaani au sabuni inayoweza kuwapunguza??
Natanguliza shukrani
Update 20.05.2023
Nashukuru kwa michango yenu kupitia mawazo yenu niliamua kununua mafuta ya mnyonyo castor...
Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani.
Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu...
Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation):
Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa mawazo, Mungu ametujalia mimi na mke wangu tumepata mtoto. Ila ana siku mbili halali kabisa usiku. Analia tu na ana harisha kamba kamba kama makamasi. Hospital...
Kazi iendelee.!
Hivi madaktari na wadau wa afya, hili limekaaje? Kwa nini watu wengi HASA kwa Dar kipindi hiki wanalalamika maumivu ya kichwa, uchovu wa viungo na mwili, joto la mwili kupanda na...