Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,440
- 1,720
Kazi iendelee.!
Hivi madaktari na wadau wa afya, hili limekaaje? Kwa nini watu wengi HASA kwa Dar kipindi hiki wanalalamika maumivu ya kichwa, uchovu wa viungo na mwili, joto la mwili kupanda na kuwa kali/juu nk
Kuna dada amenipigia kuniambia familia yake yote ni wagonjwa mno kwa dalili hizo tajwa hapo juu. Mpaka majirani zao nao wameshikwa na HOMA.
Hao wachache, achilia mbali ninaowafahamu wengine ambao wanaumwa nao, ni wengi.
Hivi Dar es Salaam ina nini hasa?