Kishimo kwenye unyayo wa mguu

Kishimo kwenye unyayo wa mguu

Joined
Jan 6, 2022
Posts
9
Reaction score
5
Mwaka 2006 hivi nilikanyaga mwiba damu zikanitoka, baada ya hapo palikauka vizuri tu ila palitengeneza kovu ambalo likazaa kishimo.

Yaani baada ya muda Kuna vijiuchafu mithili ya tunyama mfanano wa nyama za kwenye nyayo.

Hujaa na husababisha maumivu na nikitoa vile vinyama napata unafuu maumivu yanatulia kiasi.

Msaada nawezaje pata dawa Gani nikarejea katika hali yangu ya kawaida?
 
Sawasawa maana umeshafika hospital hapa
Nilienda hospitals zaidi ya mbili nikaambiwa kitapotea taratibu sikuwa satisfied na majibu yao ndio maana nimeshare kama Kuna aliewahi kuexperience tatizo hili anijuze namna ya kupona.
Jf sometimes unapata mwanga wa tatizo that's why Kuna hii forum
 
Sawa mkuu,twanga kitunguu swaumu ingiza hapo Kwa shimo funga kitambaa then asubuhi fungua oshea maji chumvi...Usiku tena fungia kitunguu swaumu
 
Mwaka 2006 hivi nilikanyaga mwiba damu zikanitoka, baada ya hapo palikauka vizuri tu ila palitengeneza kovu ambalo likazaa kishimo.

Yaani baada ya muda Kuna vijiuchafu mithili ya tunyama mfanano wa nyama za kwenye nyayo.

Hujaa na husababisha maumivu na nikitoa vile vinyama napata unafuu maumivu yanatulia kiasi.

Msaada nawezaje pata dawa Gani nikarejea katika hali yangu ya kawaida?
Inaitwa "ndonda",kuna wataalamu wa kuzitibu kienyeji wanakata hiyo sehemu wanachoma na mafuta ya samli (ngombe)

Ngoja waje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom