mwendapole12
Member
- Apr 2, 2022
- 21
- 26
Habari yako wewe unayesoma uzi huu.
Nina umri wa miaka 27 pia nimejaaliwa kupata mtoto mmoja tu wa kike na kwa sasa ana miaka 4 ila sijabahatika kupata mtoto mwingine nimejitahidi sana kufanya vipimo kiafya nipo vizuri maana nimefanya checkup zote, sperm analysis, semen na vingine ila nimejikuta blood group yangu ni AB+ na mke wangu pia wote tunafananisha blood group kwahiyo nikawa nimewahi kuambiawa kuwa nayo ni factor moja wapo ya kukosa mtoto.
Je, ni dawa gani inayofanya kutatua tatizo kama hili iwapo tutafananisha blood group ili tuweze kupata mtoto mwingine?