Kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kiwe ngapi Hadi ngapi

Kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kiwe ngapi Hadi ngapi

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,918
Reaction score
4,709
Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi
 
Habar wakuu nauliza kiwango Cha mapigo ya moyo ukipima presha kiwango Cha mapigo ya moyo kinatakiwa kianzie ngapi
Inatakiwa kwa mtu mzima wastani wa 60-100 kwa dakika moja, ingawa kuna baadhi ya watu wengine inakuwa mpaka 55 kwa dakika na ni kawaida kwao.
 
Back
Top Bottom