Nini chanzo cha gono kwa mwanamke

Nini chanzo cha gono kwa mwanamke

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,918
Reaction score
4,709
Habari wakuu,

Naomba kueleimishwa naona kila mwanaume anasema alipata gono Toka kwa mdada flani baada ya kufanya nae mapenz.

Naomba kueleimishwa nin Chanzo Cha gono kwa mwanamke yaan inakuaje Hadi anakua nalo gono.
 
Gono lipo ugonjwa usiochagua wanaume wala wanawake. Hata wewe unaweza kumuambukiza mtu gono

Sasa kuna super gono😬
 
Back
Top Bottom