Hizo pandikizi ni majini yananyonya damuHabarini Wana jamvi,,Kuna binti kaweka kijiti miezi mitatu iliyopita. Cha ajabu Ni kwamba hajaingia period kwa muda wote huo na ameshindwa kupata ifumbuzi wa hili. Nmelileta kwenu wataalam naomba mnisaidie kumshauli ili awe sawa.
Shukran.
Hilo nalo neno.shukranHizo pandikizi ni majini yananyonya damu
Habarini wana Jamvi,
Kuna binti kaweka kijiti miezi mitatu iliyopita. Cha ajabu ni kwamba hajaingia period kwa muda wote huo na ameshindwa kupata ufumbuzi wa hili. Nimelileta kwenu wataalam naomba mnisaidie kumshauli ili awe sawa.
Shukrani.
Shukran kwa elimu hii nzuri.Habari!
Utumiaji wa dawa za uzazi wa mpango huweza kufanya yafuatayo:
1: Kuufanya mwili usiandae yai kila mwezi.
2: Kubadilishwa kwa ukuta wa mji wa mimba na kuufanya usiandaliwe kila mwezi ili kupokea mtoto baada ya kutungwa mimba.
3: Kuufanya ute ulioko kwenye mji wa mimba hasa mlangoni kutokuwa rafiki kwa mbegu ya kiume kupita kiarahisi.
NB: Tokeo namba mbili ndilo humfanya mtu anaetumia dawa za homoni kupanga uzazi asipate siku zake kwani hakuna mji wa mimba unaoandaliwa kila mwezi. Hivyo, haya ni matokeo tarajiwa na haina madhara yoyote.