hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
Jaman wanajamvi naomben mnifahamishe dawa nzuri ya tumbo kwa mwanangu, kuna mtu kanishauri nimpe gribwater na kuna mwingine kanishauri nimpe maji tu ya vuguvugu kweny kijiko cha chai.
Tafadhal naomba mnisaidie ipi nzuri maana, huwa anajinyonga nyonga tumbo sana kila anapotaka kupata choo na tumbo linaunguruma sana ila choo anachopata ni kizuri tu sio kibaya
Tafadhal naomba mnisaidie ipi nzuri maana, huwa anajinyonga nyonga tumbo sana kila anapotaka kupata choo na tumbo linaunguruma sana ila choo anachopata ni kizuri tu sio kibaya