Ufafanuzi tafadhari, mama mkwe amekatwa ziwa kutokana ugonjwa huu hatari zaidi. Je huenda watoto wake nao wakawa na vimelea vya ugonjwa huu nianze tiba mapema?
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa...
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za...
Mimi ni mwananchi wa Singida, kero yangu ni jengo la ghorofa sita kwaajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, lilianza kujengwa tangu nipo Sekondari Miaka ya 2010's lakini mpaka leo ujenzi...
Habari Wakuu, nina tatizo la Vichomi upande wa Kushoto, nikikaa kwa mda mrefu sana, kichomi kinauma, nikilala au kupumzika vinaacha kuuma.
Nilienda kupima nikaambiwa sina titizo, Sijui shida ni...
Tumeenda hospitali ya wilaya wakasema ana UTI na MINYOO, ametumia dozi zote lakini akawa bado anahisi uchovu.
Nikamrudisha tena wakasema ni normal hana tatizo, ila uchovu tu ndoi shida. Mimba...
Nimeona ni vyema tukakumbushana juu ya janga hili licha ya kuwa mdomoni na masikioni pa wengi lishazoeleka. Nb UKIMWI HAUNA KINGA UKIMWI UNAUA madhara ni makubwa kuliko tunavyodhania,
1. Tumia...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo...
Right now, somewhere in Africa, a person is slowly winding a living worm — three feet long — around a small stick.
It is emerging from a wound in their leg, centimeter by centimeter.
And it has...
Napenda kupata uelewa zaidi kutoka kwa Wananchi na wadau husika wa sekta hii... Kwanini kipindi hiki idadi kubwa ya wamama wanajifungua kwa kisu (oparesheni) yaani katika Asilimia 100, kati yao...
Wanajamvi.
Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi.
Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life)...
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya...
Jaman habari zenu mimi nina changamoto ya presha na nimegundua kutokana na number zangu zinavyojieleza mara inapanda mara inashuka naitaji kuicontroll kabla haijaniletea shida kubwa zaidi iwe kwa...
Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama...
Kulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu.
Sasa nina muda mrefu siioni.
Ndugu zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu.
Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za...
Naam maradhi yasiyo ya kuambukizwa yanazidi kuujaza ulimwengu. Kwa kifupi ugonjwa huu ni ile khali ya kubadili hisia kwa ghafla bila kuwa na sababu yeyote ya msingi,
Kwa mfano mtu anaweza...
Juzi Jumatatu nilipata taarifa kuwa kuna swahiba yangu alikuwa amelazwa pale hospitali ya Kanda ya Bugando ikanibidi niende kumjulia japo hali. Nilifika salama na tukazungumza mengi sana kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.