Tatizo la vichomi upande wa kushoto

Tatizo la vichomi upande wa kushoto

A

Anonymous

Guest
Habari Wakuu, nina tatizo la Vichomi upande wa Kushoto, nikikaa kwa mda mrefu sana, kichomi kinauma, nikilala au kupumzika vinaacha kuuma.

Nilienda kupima nikaambiwa sina titizo, Sijui shida ni nini hapa?
 
Back
Top Bottom