Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

1. Uchovu 2. maziwa kujaa 3. Hasira
5 Reactions
25 Replies
355 Views
Siku hizi imekuwa kawaida kushuhudia vijana wa miaka 20 wanapata vipara. Na changamoto kubwa ni muda wanaotumia kwenye simu. Mwanga wa "Blue Light" ndio chanzo kizima cha wewe kupoteza nywele...
5 Reactions
6 Replies
520 Views
Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu. Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka. Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa...
16 Reactions
123 Replies
7K Views
Wanaume wengi hunyamaza wakati wanapoanza kuathiriwa na tatizo la kushindwa kutekeleza wajibu wao katika ndoa ikiwemo tatizo la kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hivyobasi mara nyingi hulazimika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni kweli thamani ya binadamu inabadilika kulingana na wakati?? Nimeuguza mtu wangu wa karibu Hospital kubwa tuu pale Mwanza. Alifariki kwa uzembe wa watoa huduma kutorejesha oxygen baada ya...
3 Reactions
18 Replies
267 Views
Punguza Tumbo na Mafuta Mwilini Ungependa kuondoa kitambi na kuishi na mwili mwepesi, wenye afya na nguvu kila siku? Soma kwa makini siri hii rahisi lakini yenye matokeo makubwa. Hii ni kwa wewe...
1 Reactions
2 Replies
580 Views
Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi...
9 Reactions
120 Replies
2K Views
Siku ya Bipolar Duniani huadhimishwa kila mwaka mnamo Machi 30, tarehe ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mchoraji mashuhuri Vincent van Gogh, ambaye aligundulika baada ya kifo chake kuwa...
8 Reactions
12 Replies
473 Views
Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
5 Reactions
43 Replies
847 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu ripoti ya...
2 Reactions
4 Replies
214 Views
Mafuta ya Zaituni Olive Oil Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo; (1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo...
14 Reactions
47 Replies
203K Views
Habari ndugu zangu nawasalimu sana. Bawasiri ni tatizo linalowasumbua watu wengi na wengi wetu tunauchukulia kama ugonjwa wa aibu kutokana na eneo lenyewe linalo athirika. 1. Bawasiri ni matokeo...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu wa nchi naombeni msaada wapi nitapata mganga wa kienyeji kwani nina tatizo ambalo linanisumbua sana. Nimeshaenda hospital mbili za rufaa wanasema hamna tatizo. Nimeshaenda kwenye maombi...
0 Reactions
108 Replies
38K Views
Habari ya leo, ndugu Mtanzania! 🙏 Leo tunazungumzia mada muhimu sana katika safari ya uzazi: Upasuaji wa C-section. Tuelimishane kwa upendo. NINI MAANA YA UPASUAJI WA C-SECTION? C-section ni njia...
3 Reactions
5 Replies
654 Views
Shida yangu moja hapa kifuani upande wa kushoto ninahisi kama nina kitu ila hakiumi, nishakula dawa za gesi dozi 2, nishapima ecg ila ipo normal, dalili nyingine ninazopata ni uchovu kichwa kuuma...
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Wataalaam naombeni mnielekeze dawa ya KIENYEJI ya UTI SUGU Coz nimetumia kila aina ya madawa ya hospitalini lakini sioni mabadiliko. Huu ni mwaka wa tatu inanitesaga tu.
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Wakuu bila kuchelewa na kumung'unya mate na maneno midomoni, nilikuwa naomba ushauri na maelekezo kutoka kwenu, bila mzaha wala jokes, kikubwa zaidi nilikuwa naomba mnishauri dawa ya kutibu...
4 Reactions
64 Replies
21K Views
Habari wakuu, Naomba kufahamishwa dawa ya asili (ya kienyeji isiyo na madhara) inayoweza kuyeyusha Mafuta mwilini, Najua huku wapo wajuzi wa mambo ya afya na tiba a silk. Wasalaam.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom