Kila binadamu hufa kwa saratani.
Tatizo ni lini itaanza kutokea au kama kuna ugonjwa mwingine. lakini mwili ni nyama na mifupa na zinaoza taratibu na kuharibika kadri muda unavyoenda.
Hata nikiuwawa na makombora ya Iran au USA bado nitakuwa nimekufa kwa saratani?Kila binadamu hufa kwa saratani.
Tatizo ni lini itaanza kutokea au kama kuna ugonjwa mwingine. lakini mwili ni nyama na mifupa na zinaoza taratibu na kuharibika kadri muda unavyoenda.
Ni hivi,Hata nikiuwawa na makombora ya Iran au USA bado nitakuwa nimekufa kwa saratani?
Ni mchango ambao mimi pia nimesikia na nimesoma articles kutoka kwa wataalam. Ni mawazo ambayo wanasayansi wameyaunganisha na kuja na theory.Duh 🙄
Kama hujuwi jibu si ungenyamaza tu..
We ndo hujaelewaDuh 🙄
Kama hujuwi jibu si ungenyamaza tu..
kwa hiyo huenda cancer haitibiki?Ni Mawili:
Signal au Protein mbaya.
Fuatilia mtiririko inavyopatikana Protein kupingana na maandiko yao.
Wananendelea kutibu dalili wakiita ugonjwa
But hata mionzi huuwa had seli nzima but haiuwi tatizo.
Signal zinazopelekea mwili kuunda cancerous tumor ( Protein ) ndio chanzo ila wao kwa makusudi wanaenda kudeal na matokeokwa hiyo huenda cancer haitibiki?
Ni mchango ambao mimi pia nimesikia na nimesoma articles kutoka kwa wataalam. Ni mawazo ambayo wanasayansi wameyaunganisha na kuja na theory.
Kwa hiyo mtu akikuuliza kama saratani ni ugonjwa wa kurithi, basi unaweza kukataa na kumpa theory hii.
Source: Hakem R. DNA-damage repair; the good, the bad, and the ugly. EMBO J. 2008 Feb 20;27(4):589-605. doi: 10.1038/emboj.2008.15. PMID: 18285820; PMCID: PMC2262034.
NielewesheWe ndo hujaelewa
Daktari atakuuliza historia ya kansa katika familia yako. Ukijibu ndiyo, atakuuliza mwanafamilia alipata akiwa na umri gani, ukijibu 80s au 90s au hata late 70s. daktari ataihusisha na old age.Hii naikataa kivyanbu na kwa yale Nimesikia na kuona watu wanapitia..
Maana wengi najua haswa kansa za kama kadhalika wengi wanatakiwa kujua mapema wawe wanacheki kwani inatembea kwa familia... Na ndio kuepuka ETC ikiwezekana
Nimesahau mengine sijajikumbusha
Daktari atakuuliza historia ya kansa katika familia yako. Ukijibu ndiyo, atakuuliza mwanafamilia alipata akiwa na umri gani, ukijibu 80s au 90s au hata late 70s. daktari ataihusisha na old age.
Hata magonjwa ya moyo yanaenda na familia, lakini tabia zinachangia kwa kiasi kikubwa. Kwa hiyo theory ya deterioration ni strong na imethibitishwa.