Bei yake ni 1500Kulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3.Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu sasa nina muda mrefu siioni?
Huyu mdudu hakuna kitu ataacha kutulishaNgetwa inafaa kwa Corona?
Naitafuta hiyo dawaKulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu.
Sasa nina muda mrefu siioni.
ufukuaji wa makaburi kama haya ni nomaKulikuwa na dawa inaitwa ngetwa3. Nilitumia kwaajiri ya maralia lakini ikaadimika baadae nikawa naiona kwenye maduka ya waindi mtaa wa uhuru kariakoo kwa bei ya juu.
Sasa nina muda mrefu siioni.
ulishaipata?
Bei gani mkuuMi ninayo
mkuu mi nilinunua 15,000Bei gani mkuu
Ndio nilisha ipataulishaipata?
Igunga Tabora inauzwa 5000 tumkuu mi nilinunua 15,000
Uliponunua walikwambia inatibu nini? au hapo nyumbani umeikuta tu?Hii dawa ninayo hapa nyumbani toka 2017 hata sijui inatibu nn jamaniView attachment 1447144
Sent using Jamii Forums mobile app