Hizo ndo dawa au 😀Dah! Wakuu niombeeni,nguvu zinaniishia,nahara kweli,nimenunua oral,glucose,Quenin,paracetamol najisikilizia.
ndiyo halafu kameza mara moja zote😂😂Hizo ndo dawa au 😀
Pole sana
punguza mihemko kunywa maji mengi na epuka kula maviporo kijanaunanitolea taarifa wewe kama nani?
Chukua tangawizi CHANGANYA na kitunguu swaumu saga saga mama Kisha tumia maji moto koroga bugia BAADA ya dk 15 njoo hapa...Dah! Wakuu niombeeni,nguvu zinaniishia,nahara kweli,nimenunua oral,glucose,Quenin,paracetamol najisikilizia.
mkuu acha dhihaka.Chukua tangawizi CHANGANYA na kitunguu swaumu saga saga mama Kisha tumia maji moto koroga bugia BAADA ya dk 15 njoo hapa...
Ila inakuwaje mtoto kama huyu anaharisha
View attachment 3578595
Wanajitafutia majanga katika ddawa naziogopa katika maisha yangu ni Quinen aisee natamani ziondolewe kabisa ila ndio bas tena 😀ndiyo halafu kameza mara moja zote😂😂
Sijui ni nn kipindi hiki mm ilinikut juzi sijatoka home sijala nje nilipilka vyakula vya kawaidailikula sana nini ? .. nipe maelekezo nikupe short cut ya kujiponya bila dawa yeyote ile kama kipindu pindu wala bakteria ila.
Hapo nasikia boda boda bodobdodoooooododoosos😄.mkuu acha dhihaka.