Jinsi ya kuiandaa dawa ya Mbaazi
Chukua Majani, au maua au mizizi kiasi cha nusu kilo (Ni vizuri kama utachanganya vyote) Pondaponda na uloweke kwenye maji safi kiasi cha lita mbili (2) kwa muda...
Acha kabisa mdau!!
Si unajua jinsi jino linavyotaka sifa usiku? Pale ndo unaapa kabisa kuwa alfajiri utaamkia kwa Israeli mtoa meno.
Siku ya Ijumaa niliamka Alfajiri na kujihimia moja ya Vituo...
Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya.
Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena.
Siwezi maliza mwezi au miezi...
Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania.
Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji...
Natumai hamjambo, nina tatizo la damu nyingi mwilini. Pia damu ni chafu, naomba maelekezo nini cha kufanya niweze kupunguza damu mwenyewe kabla sijaenda kuchangia.
Ahsanteni.
=====
UFUATILIAJI...
Habari za muda wakuu.
Naomba msaada wa hii ninayopitia ya mwili unakuwa katika hali ya kupatwa na shock kama ya umeme hasa nikiinamisha kichwa. Hospitali wameniambia wakati mwingine h-pyori huwa...
Kwanza naomba nitoe pole kwenu nyote.
Binafsi kwa sasa ninaishi mkoani Mtwara, ni muda mrefu sana nimehangaika kutafuta mtoto na mke wangu kwani mtoto wangu wa kwanza ana miaka 6, baada ya hapo...
Naongea mbele zenu Kwa masikitiko makubwa wanajamii Forums maana nashindwa kuelewa hii hali inapoelekea.Siku ya saba Leo nakula lakini sipati choo.
Kiuno nacho kinauma hata kusimama muda mrefu...
Habari za wakati huu wana Jamiiforum, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, nimeishi na tatizo la kujikojolea kitandani tangu utotoni hadi hivi sasa ambapo bado sijapona kwa 100% ila...
Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo Mei 25, 2026, kimetoa mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za msingi kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa SAFARI, unaotumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha...
Ndio madokta, mnijuze na mnieleze, chunusi inatokana na nini kwa mwanaume? Na inaondolewa vipi au na dawa gani? Pia, nitajilinda/nitajikinga vipi, ili nisipatwe na chunusi?
Au nifanye nini ili...
Kero yangu ni Kituo cha Afya Kinyerezi kinatoza pesa kwa watoto upande wa chanjo yaani matone kwa watoto miezi 9 wanalipia elfu 5 na sindano wanachomwa bure bila malipo wakati chanjo yoyote kwa...
BAWASIRI NI NINI?
Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba au kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama au uvimbe ambao ndio huitwa bawasiri.
Sababu kubwa...
Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri...
Je, wajua kuwa kifafa cha mimba ni hali hatarishi inayoweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto ikiwa haitapatiwa matibabu kwa wakati?
Dkt. Jofrey Marandu, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kike na...
Dkt. Erastus Sylvanus, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya amesema hawajapata malalamiko ya watu kuumwa magonjwa ya tumbo kwa wingi na kwamba wale wenye...