Madammmony
New Member
- Sep 27, 2023
- 2
- 2
Habari wapenzi! Umri wangu miaka 29 nina tatizo la kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku yaani siku nyingine naweza aamka hata mara nne kwenda kukojoa na hii hali ni tangu utotoni. Mama yetu alikuwa anatuwekea "bobo" (kopo la kukojolea) ndani na ni karibia familia yetu yoote ipo hivyo kuamka amka usiku kukojoa. Sasa mimi hii hali inanikera, nifanyeje ili kukomesha hii hali.
Sent from my TECNO KG5p using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO KG5p using JamiiForums mobile app