Msaada wa matibabu ya STD

jkun

Member
Oct 22, 2023
7
21
Habari Mimi ni mwanaume naombeni msaada Kuna mwanamke nilikutana nae nikafanya nae mapenzi kwa Sasa ninapata maumivu wakati wa kukojoa pia maumivu chini ya kitovu na pia wakati wa kukojoa, pia maumivu wakati wa kujamiana nikaenda duka la dawa nikapewa doxyline na dawa nyingine nikatumia kwa siku tano baada ya kumaliza nikaona maumivu Kama yanazidi tu Hadi korodani pia zinauma ndipo nikaamua kwenda hospital nikapima mkojo majibu yakawa Kama ifuatavyo;

Naombeni msaada please
IMG_20231115_130659_170.jpg
 
Habari Mimi ni mwanaume naombeni msaada Kuna mwanamke nilikutana nae nikafanya nae mapenzi kwa Sasa ninapata maumivu wakati wa kukojoa pia maumivu chini ya kitovu na pia wakati wa kukojoa ,pia maumivu wakati wa kujamiana nikaenda duka la dawa nikapewa doxyline na dawa nyingine nikatumia kwa siku tano baada ya kumaliza nikaona maumivu Kama yanazidi tu Hadi korodani pia zinauma ndipo nikaamua kwenda hospital nikapima mkojo majibu yakawa Kama ifuatavyo;

Naombeni msaada pleaseView attachment 2814462
Huko hospitali daktari kagoma kukusaidia?
 
Mshahara wa dhambi ni mauti ndugu
 
Back
Top Bottom