Je, uliwahi kupata nafuu kutokana na muwasho mkali wa ngozi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Kuna aina ya miwasho ambayo ni mikali mno katika sehemu mbali mbali za mwili kwa maana haitibiki kirahisi na inasumbua kwa muda mrefu kweli.

Dawa kama predilone na cetrizine wala tube za kujipaka kama skderm na nyingine nyingi zinagonga mwamba bila msaada wowote.

After kwenda hospitali unaweza kupata mrejesho wa tatizo na tiba.

Kama uliwahi kupitia hali hii na ukapata tiba, ulitumia njia gani au dawa gani?

Karibuni.
 
Back
Top Bottom