MSAADA - Kuweka sawa Menstruation Cycle

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Heshima mbele wakuu

Wife wa kaka yangu ana tatizo la mzunguko wake wa kila mwezi. Tatizo lake limeanza kitambo sana baada tu ya kujifungua, more than 3 years ago.

Kuna kipindi anakaa kama miezi minne bila kuona P, then ikija inakomaa kama mwezi mzima, ikikata inatokomea jumla yaani bila mpangilio maalumu.

Katika kuhangaika kwake, alianzia kwa jamaa mmoja anaitwa Docta Isack Ndodi (?) Dar bila mafanikio. Then akaenda Agha Khan wakampima Xray na kusema eti yupo fresh tu. Japo walimpa dawa, P ilikuja kama kawaida na ilipoisha, haijarudi mpala leo (mwezi wa tatu sasa....)

Kwa sasa ameanza dawa za 'Forever Living products' ingawa ameshapoteza matumaini.

So, hawa ndugu wanauliza kama kuna mtu anafahamu sehemu ya uhakika wanayoweza kwenda na kupata huduma bora itakayomaliza tatizo moja kwa moja. Kama kuna mtu mwenye experience na tatizo hili, msaada tafadhari
 
ajaribu wale natural therapists.......

nilishawahi kupata tatizo lakini halikuwa kama hilo but they were of great help, halijawahi kunirudia tena for the past 8yrs
 
yaani kakako ndo kaja kuanika matatizo ya mke wake kwako? duh, hizi ndoa za siku hizi hazina hata adabu, ni ndoa ya familia tu hiyo.
 
Heshima mbele wakuu

Wife wa kaka yangu ana tatizo la mzunguko wake wa kila mwezi. Tatizo lake limeanza kitambo sana baada tu ya kujifungua, more than 3 years ago.

Kuna kipindi anakaa kama miezi minne bila kuona P, then ikija inakomaa kama mwezi mzima, ikikata inatokomea jumla yaani bila mpangilio maalumu.

Katika kuhangaika kwake, alianzia kwa jamaa mmoja anaitwa Docta Isack Ndodi (?) Dar bila mafanikio. Then akaenda Agha Khan wakampima Xray na kusema eti yupo fresh tu. Japo walimpa dawa, P ilikuja kama kawaida na ilipoisha, haijarudi mpala leo (mwezi wa tatu sasa....)

Kwa sasa ameanza dawa za 'Forever Living products' ingawa ameshapoteza matumaini.

So, hawa ndugu wanauliza kama kuna mtu anafahamu sehemu ya uhakika wanayoweza kwenda na kupata huduma bora itakayomaliza tatizo moja kwa moja. Kama kuna mtu mwenye experience na tatizo hili, msaada tafadhari
wakati mwingine inasababishwa na uvivu,mwambie ajishuhurishe na kazi ngumu pia kama haitoshi tarehe zake zikikaribia akatike kiuno sana hata kama ameshoka afanye kama zoezi hii pia inasaidia,
 
yaani kakako ndo kaja kuanika matatizo ya mke wake kwako? duh, hizi ndoa za siku hizi hazina hata adabu, ni ndoa ya familia tu hiyo.

Wewe ni Mgeni Humu JF, maana humu kila mtu akija hawezi kusema yeye ndio mwenye matatizo, mara jamaa yangu , mara shemeji, mara rafiki, ili mradi tu asiwe yeye ni muhusika mkuu, anyway tumpeni ushauri SINYORITA AKAMPE WIFI YAKE, AMBAYE NI MKE WA KAKAKE
 
yaani kakako ndo kaja kuanika matatizo ya mke wake kwako? duh, hizi ndoa za siku hizi hazina hata adabu, ni ndoa ya familia tu hiyo.

Mkuu, sio ndoa ya 'familia familia tu'. Alikuwa katika harakati za kutafuta suluhisho na labda alidhani ninaweza kupata dawa ya tatizo lake kwa kuwa nipo nje ya TZ.

Thanks though kwa mtazamo wako
 
yaani kakako ndo kaja kuanika matatizo ya mke wake kwako? duh, hizi ndoa za siku hizi hazina hata adabu, ni ndoa ya familia tu hiyo.

Mwana wa Mungu, kwani kuna ubaya gani katika hilo? nadhani sinyolita ni mwanamke (sorry if not) hivyo kaka yake kaona ni tatizo la kike na dada ambaye ni mwanamke anaweza saidia. MP si ugonjwa na hakuna haja ya kuweka confidential.. ni mchango na mtazamo mkuu
 
Back
Top Bottom