New Viagra | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Viagra

Discussion in 'JF Doctor' started by uncle, May 12, 2010.

 1. u

  uncle Senior Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Dec 10, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimepata taarifa ya kuwa kuna na dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiuume.nasikia inatengenezwa Kenya.iko katika hali ya unga unga ,ni kipakti kidogo.
  Naomba kama mtu ana jina lake na wapi inapatikana hapa Dar es salaam ,anihabarishe
   
 2. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ya nn ww kula vizuri fanya mazoezi nguvu zitakua poa tu acha kula madawa yasiyo na msingi wowote utapoteza network kabisa.Huu ni ushuri wangu tu.
   
 3. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,659
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Inaitwa ENZOY (vitality drink), inapatikana Kongo bar(mtaa wa Kongo- kariakoo)
   
 4. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ale vitu gani, na afanye mazoezi gani? Toa masaada zaidi mkuu
   
 5. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama uliwahi kutumia kahawa, mara ya kwanza ukitumia kidogo unachangamka kweli kweli lakini baada ya muda kidogo hata ukiweka vijiko
  viwili huchangamki kama mwanzo, hali hiyo itaendelea mpaka unazoea kahawa kama maji! HIVYO HIVYO UKIZOEA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU
  ILE 'NATURAL ALERT OF SEXUAL DRIVE ' INAPOTEA mpaka inafikia hatua ya, hamna dawa hamna gemu. Hivyo basi, usitumie dawa hizo
  kabisa badala yake kula mlo kamili na zingatia mazoezi, pia jitahidi kuepuka vilevi na vyakula vya sukari kwa wingi.La muhimu usisahau kujifunza
  kupambana na msongo wa mawazo(stress,tension) hata kama maisha ni magumu kiasi cha kutoelezeka! KUMBUKA
  Life is short!
  Break the rules!
  Forgive quickly!
  Kiss slowly!
  Love truly,
  Laugh uncontrollably. .
  And never regret anything
  that made you smile.
   
Loading...