muwasho kwa chini

kobonde

Senior Member
Jan 6, 2010
154
19
Rafiki yangu ameniomba msaada ,anasumbuliwa na muwasho sehemu za siri hana harufu yoyote mbaya wala vidonda ila anawashwa tu.
 
hii miwasho kila siku watu wanaleta maswali ya msaada hapa, ninini, pilipili au? hii ni kitu kama si ya pili ni ya tatu kuletwa hapa. huyo jamaa anakunywa pombe, asijekuwa alilewa jamaa zake wakamsaidia kumpeleka home then...., walevi mpooooooo! tunaona mengi siku hizi mtaani huku wajameni.
 
Huyo rafiki yetu mke au mume.............. itakavyokua aende hospital asione haya.
 
Mwambie atafute sabuni flani hivi akina mama wanaitumia kuoshea lile tunda inaitwa KAISIKI, ila kuipata baba ndo issue zinagombewa kama mpira wa KONA.
 
Pamoja na matibabu, ni muhimu kuzingatia kutovaa kufuli wiki nzima. Kila siku abadilishe kufuli. Na akifua hizo kufuli aanike juani au kupiga pasi.
 
Mwambie atafute sabuni flani hivi akina mama wanaitumia kuoshea lile tunda inaitwa KAISIKI, ila kuipata baba ndo issue zinagombewa kama mpira wa KONA.
Chungeni na muwe makini na vitu kama hivi ndivyo viletavyo madhara.
Ushauri mzuri ataupata kwa daktari baada ya kufanyiwa uchunguzi...hasa amuone Dr bingwa wa magnjwa ya wanawake kama mhusika ni mwanamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom