Ni ugonjwa gani huu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ugonjwa gani huu??

Discussion in 'JF Doctor' started by KakaJambazi, May 10, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kifanyio cha matusi changu kinaniwasha sana, hasa sehemu ya chini. Naomba mnisaidia ni ugonjwa gani huo? nini matibabu yake.

  Asanteni
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kila kiungo ktk mwili wa binadam ni sawa na kingine . Kwa nini usisime uume wako? Matusi maana yake ni sex au ni ?
   
 3. S

  Sinag Man Member

  #3
  May 10, 2010
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao ni Fangas ndiyo wa kusumbua, inaweza kuwa umewapta kupitia Pedi au umeambukizwa na demu wako
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kakajambazi sex organ sio kifanyio matusi. kwa sababu sex siyo matusi
   
 5. ismase

  ismase Senior Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Iwezekana una tatizo linalojulikana kitaalamu kama Hemorrhoids au piles. Hili ni tatizo la kuvimba kwa mishipa ya damu katika haja kubwa, aidha kwa ndani (internal hormorrhoids) au kwa nje (external homorrhoids). Tatizo hili huwapata watu wengi duniani, mfano data zinaonyesha kuwa kadri ya watu mil. 10 waishio marekani wana hemorrhoids. sababu ni nyingi, ila kubwa ni pressure kwenye mishipa ya damu kwenye haja kubwa inayosababishwa na constipation (kutumia nguvu unapojisaidia), ujauzito, kuharisha, umri (wazee), kufanya mapenzi kinyume na maumbile, nk.

  dalili ni pamoja na kuwashwa, maumivu sehem za haja kubwa na wakati mwingine kuonekana damu hasa wakati wa kujisaidia. matibabu yanategemea aina na hatua ya ugonjwa. Ila ni vizuri ukamwona Daktari akakushauri zaidi kulingana na tatizo lako. ushauri wangu, ni vizuri kula vyakula vyenye roughage, kula matunda, kunywa maji mengi, kutumia maji (hasa ya vuguvugu) kujisafisha baada ya haja kubwa, na kujiepusha na visababishi vyote nilivyovitaja hapo juu.

  wako Dr. ismase
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280

  Nini matibabu yake Dr?
   
Loading...