jamani hii dawa ya kunjwa mkojo nimeikubali mbali yakuongelewa hapa jamvini nimewauliza madr kadhaa wasema nikweli kabisa leo nimejaribu asubui nikakinga kwenye glasi ile harufu tuu acha nikaribu...
Wana JF
Mimi ni mfugaji; nimeanza kufuga kuku wa nyama (broiler) miezi michache iliyopita. Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo lengo lake ni kubadilishana uzoefu katika ufugaji bora wa kuku...
Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba.
Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani...
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima!
Ni hivi mi nina tatizo la kifua linanisumbua kwa muda sasa.
kifua kinauma kwa ndani upande wa kulia hii hutokea nikiwa nataka kuamka kama nimelala au nimekaa...
Mzee wangu (74) ambaye late mwaka jana around October alikuwa diagnosed with NIDDM (Non-Insulin Dependent Diabetes Mellitus) today had his eyes examined at KCMC and lucky he hasn't got diabetic...
Kama ikitokea leo hii, magonjwa sugu mbalimbali yakapatiwa dawa, jamii ingefurahia na maadhimisho yangefanyika kwa mafanikio yaliyopatikana.
Lakini hata kabla tiba za magonjwa yote sugu...
A new study at Liverpool University has found that overweight pregnant women are more likely to be overdue and have more complicated births.
Women who were overweight or obese before they...
Waziri wa Afra na Ustawi Dkt Haji Mponda (aliye juu ya pikipiki) akizundua jana jijini Dar es salaam Pikipiki maalum iliyotengezwa na Kampuni ya E Ranger ya Afrika Kusini kwa ajili ya shughuli za...
Ndugu watanzania,
Leo naandika huku nikiangalia hali ya afya zetu, watoto wetu na ndugu zetu wengine ambavyo hazina uhakika wa usalama.
Leo hii, mtoto akiugua kwa Dar, daktari mwenye uwezo mzuri...
Wakuu,
Ni mara ya kwanza kunitokea hali hii after kufanya mapenzi na my fiance this weekend, niligundua natoka damu ktk mboo after kwenda kukojoa yani niliumia sana as if kuna viwembe vinakata...
WADAU NIN MAUMIVU YA MUDA MREFU YA SHINGO, KUANZIA KWENYE MABEGA MPAKA SEHEMU YA JUU KICHWA KINAPOANZIA.
sASA KWA MUDA MREFU NIMEMEKUWA NA MAUMIVU HAYO MPAKA HIVI KARIBUNI NILIPTA AJALI YA GARI...
JAMANI NIME ILETA HII KWA WATAFITI WA MAMBO ILI MSIJE KUPITWA HASA WALE WALIOPO UK NA KWINGINEKO MAKAMPUNI BORA KUAJARI HUKO UK UTAFITI NA MAJIBU HAPO KWENYE LINK
www.lifeofmshaba.com: 2011's BEST...
Wadau naomba msaada wenu maana naona naangamia huku najiona,mimi ni mvulana nilikuwa na GF ambae nilikaa naye kwa miaka 3,then kulitokea ugomvi wa kawaida ameniambia hanitaki tuachane.
mimi...
Dispensary hii iliyopo ndani ya kota za nssf kinyezirezi je imesajiriwa?.
Ni mojawapo ya hizi kota, upande wanaishi familia hiyo, then upande ndiyo wamefanya dispensary.
Huduma inaendelea kama...
wanaJF, jana nilipitia hapa KAM Dispensary (jirani na Amana hospital) kucheki Malaria.
Nikiwa maabara nilimsikia mhudumu wa hapo akilalamika kuwa hawana maji ya bomba wala kwenye chombo chochote...
Mimi na mke wangu katika suala la uzazi tulipanga kama Mungu akitujaalia tuwe na watoto wawili tu. Na miezi mitatu iliyopita tulijaariwa kupata mtoto wetu wa kwanza kwa njia ya operation hii...
Habari wanajamvi!
Naomba kusaidiwa jina la dawa sahihi ya fungus zinazobandua miguu, nimewahi kutumia dawa inaitwa mycota spray ziliisha but baada ya wiki 3, zimerudi na speed ile ile, so naomba...
Salaam Wana JF,
Naomba msaada wa kujua dawa au namna ya kufanya kidonda kupona haraka au kukauka.Mimi nina kidonda hakionyeshi hata dalili ya kupona.Tafadhali wakuu,mwenye ufahamu wa mambo hayo...