Naombeni ushauri wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri wana jf

Discussion in 'JF Doctor' started by AMOURY, Mar 10, 2011.

 1. A

  AMOURY Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni matumaini yangu kuwa mu wazima!
  Ni hivi mi nina tatizo la kifua linanisumbua kwa muda sasa. kifua kinauma kwa ndani upande wa kulia hii hutokea nikiwa nataka kuamka kama nimelala au nimekaa kwenye sofa, hasa nikiwa sehem za baridi. nimeenda hospitali (muhimbili) nikapiga x- rays haujaonekana ugonjwa wowote,zaidi niliambiwa kuwa nina alregic chest, haya majibu niliwahi kupewa pia nilipoenda kupima hospitali moja iko mwenge. Nilipokuwa morogoro nako nilipiga x-rays hawakuona ugonjwa pia.
  Swali langu ni hili. kama ugonjwa hauonekani sasa naumwa kitu gani. na hiyo alregic chest haina dawa maana wao(doctors) wananipa antibiotic nikameze ambazo nazo hazijanisaidia.
  Nawasilisha
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Tuweke pembeni utani, matatizo yote haya ambayo hospitali yanashindikana, basi wahi Loliondo!...!100% utapona!
   
 3. S

  Smarty JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jitahidi kutokuacha kifua wazi hasa unapokuwa sehemu za baridi. Itakusaidia, hakikisha ukilala uvae hata tshirt ili tu usiache kifua kikapigwa baridi.
   
Loading...