drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 281
jamani hii dawa ya kunjwa mkojo nimeikubali mbali yakuongelewa hapa jamvini nimewauliza madr kadhaa wasema nikweli kabisa leo nimejaribu asubui nikakinga kwenye glasi ile harufu tuu acha nikaribu kiduchu mdomoni kwanza jamani usisikie jamani ladha yake cjawai kuona chumvi si chumvi yani kichefu chefu nilipojaribu mara ya pili kunywa yani niliishia kutapika nyongo na zoezi likaishia hapo hapo unless nipate mwongozo mwingine pls mzizimkavu ktk hili