Hivi ni kweli nchi imeoza kiasi hiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli nchi imeoza kiasi hiki?

Discussion in 'JF Doctor' started by GAZETI, Feb 26, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,555
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba. Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani hospitali haina GAUZE, daktari akaongeza kuwa hili ni tatizo la nchi nzima kwani hata huko MSD zimeisha.Hivi ni kweli tumefikia hapa? naomba mnifahamishe wanajamvi kama maeneo mengine kuna tatizo kama hili.
   
 2. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yawezekana,Polisi,Mahakama hazina vitendea kazi kalamu,karatasi n.k.Pesa zote wanagawana posho za vikao na marupurupu mengine,pole sana mkuu ndio TZ
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni kweli mi nilifika hosp ya mkoa moro nikakuta hawana gauze. Mbaya zaidi kila kitu anachotakiwa kufanyiwa mgonjwa lazima anunue including dawa, afu wanasema watoto<5, wajawazito na wazee huduma bure, afu mahitaji ya hospital hakuna wanabaki wahudumu wa afya kutukanwa eti hawatimizi wajib, watatimizaje wakati vitendea kazi hakuna. Hata dawa za emergence hakuna mgonjwa akifika emergence mpaka ndugu wakimbie wanunue dawa alizoandika dr ndo ahudumiwe. Sasa mpaka arudi simgonjwa kisha passaway. Jk anatutesa sana, nataman hata ajiuzulu sasa ili tubadili uongozi mwingine
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hata Muhimbili hakuna gauze wala iodine, twafa mwakahuu, wao(viongozi wakiongozwa na kikwete) mafua tu Ulaya.
   
 5. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mungu wangu!:A S 13:
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ucshangae awatanii hao nikweli akuna wala ucpoteze mda wako hii ndio tanzania zaidi ya uijuavyo
   
 7. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NI kweli muhimbili gauze ni issue! operation zinafanyika kwa mbinde!!!!
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka mojawapo ya ahadi za kutaka uraisi zilikuwa kwamba kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa yenye hadhi kama Muhimbili. Vilevile tuliahidiwa Bajaj 400 kama ambulance.Sijui kama yameshafanyika hayo au bado yapo katika mchakato?
   
 9. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Kwani JK alivyopigwa chini 2010 presidential elections mnafikiri mchezo! Watu wamechoka na viongozi wasiojali maslahi ya wananchi.
   
 10. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Tufwile Nyambala!
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Gauze na madawa mengine yakinunuliwa yanahamishiwa kwenye pharmacy zao. Ukifika hospitali wanakuambia hapa hazipo lakini nenda kwenye pharmacy ileee utapata. Katika hili jamii ndo tulaumiwe kwa kulea hali hii katika nchi hii. Kila mtu anajiona hahusiki na kuwa shape hawa watumishi wetu waliojigeuza kuwa ma master wetu. Na ni jamii hii hii tunawa encourage hawa jamaa waibe. Mtu akiajiriwa kama civil servant na maisha yake yawe chini tunamcheka na kumuona kafulia na hatumii akili yake kula kwa urefu wa kamba yake. Akila kwa kamba yake mpaka mpaka majani yanaisha tunalalamika. Kabla ya kulaumu hali hii tujiulize ni nini tumefanya japo kuwastua hawa 'wezi'? Kama tukiona kiburi hawaelewi kwa nini tanzania isiwe misri leo? Hii kulalamika na kwenda kulala majumbani kwetu haitusaidii kitu, tuchukue hatua sasa! Mifano tunayo, INAWEZEKANA!
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu acha uwongo!gauze hazipatikani hata MSD na private hospitals.kuna member alishawahi kuanzisha thread kuhusiana na hili suala.reason inayosemwa na ile meli ya madawa na vifaa vya tiba ilikwama kufika.
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hata ma-dr na wauguzi hawatoshi na JK hawezi kuajiri kwa kuwa hana hela.
   
 14. R

  React Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Issue ya huduma za hospitali Tanzania ni scandal. Nashangaa watu hawajaishtukia kiukweli. Ukiugua siku hizi ni very risky kwa sababu hakuna uhakika wa kupata tiba sahihi hata kama una hela za kuhonga watoa huduma. Watoa huduma ni wachache na wengi wao ujuzi wao unatia mashaka na utendaji wao ni wa ubabaishaji. Kukosa gauze MSD hakuna anayekosa usingizi from the Minister down. Lakini sishangai sana kwani hapo ndipo nchi imefikishwa. Ukikuta kuna uozo katika ngazi ya ukuu wa nchi then what do you expect katika lower levels....!! Hakuna tena rolemodels wa utandaji uliotukuka . Hata hivyo ziko spot ambazo bado zinashine katika hospitali zetu ingawa sio institutional bali ni individuals . Hofu yangu zisije nazo zikaambukizwa halafu ikawa kaput.[/FONT]
   
 15. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  propaganda......

   
 16. R

  React Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well unaweza sema hivyo kwa sababu hayajakukuta. I am speaking from experience. Siku yakikukuta utaikumbuka hii response.
   
Loading...