Msaada kuhusu vidonda

mwankuga

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
334
120
Salaam Wana JF,

Naomba msaada wa kujua dawa au namna ya kufanya kidonda kupona haraka au kukauka.Mimi nina kidonda hakionyeshi hata dalili ya kupona.Tafadhali wakuu,mwenye ufahamu wa mambo hayo naomba mnisaidie.Asante
 
Kipo sehemu gani ya mwili, umri wako ni miaka mingapi? Na je una dalili zozote za kisukari?
 
Kidonda kipo juu ya goti,mie nina miaka 28.Sina ugonjwa wa kisukari.asante
 
Kwani ni kidonda chenye chembe ya maradhi ya kansa ama?
 
pole sn. Kn jiran ye2 alkuwa na kdonda kschopona akashauriwa aweke majan ya bangi. Kilikauka wthn 2days! Kilkuw na shmo bt nw kmefnga kabsa. Jaribu uone.
 
Back
Top Bottom