Dispensary hii imesajiriwa?

nnunu

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
654
230
Dispensary hii iliyopo ndani ya kota za nssf kinyezirezi je imesajiriwa?.

Ni mojawapo ya hizi kota, upande wanaishi familia hiyo, then upande ndiyo wamefanya dispensary.

Huduma inaendelea kama kawaida ila wasiwasi wangu ni je inakidhi kweli viwango? Hasa suala la usalama na usafi, je wahudumu wake wamesomea au?....isije ikawa wanatoa huduma pasipo kufuata utaratibu?, mbona wakaguzi hawajafika huku?..ni halali sebule kuifanya hospitali.

Vyumba vya wa watoto kuvigeuza wodi za kulaza wagonjwa???. Hi si hatari jaman?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom