Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Fredy Azzah TAASISI ya kimataifa imesema Watanzania wengi wako kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuongezewa damu isiyopimwa kufuatia ukosefu wa vifaa vya kupima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni nini hii? inapatikana maduka gani kwa hapa dar es salaam?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia kwamba uzito wa mtoto ambaye bado hajazaliwa unaweza julikana kwa kutumia vipimo maalumu. Ninachojiuliza ni concept behind ya hivi vipimo ni ipi mpaka uzito wa mtoto alie...
0 Reactions
3 Replies
50K Views
Nimekuwa nikiumwa tumbo sana sielewi tatizo ninini.Nimetumia tiba mbalimbali kama dawa za minyoo na za typhoid lakini sijapona hapa mwananyamala naona wananisumbua au wanabahatisha tu.Nimekuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
UTAFITI wa hivi karibuni unaonyesha kwamba mbu wana akili zaidi kuliko viongozi wa binadamu waliopo duniani hivi leo baada ya mbu hao kujibu mapigo ya chandarua kinachotiwa dawa kwa kujigeuza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Source: Yahoo friends I really don't know if here is the right platfom, read through anyway. Maybe to a doctor? WE do not have a section for HEALTH issues I suppose. http://xqno.com/binb...
1 Reactions
0 Replies
972 Views
Ayurveda is no longer just a traditional medical system. It has grown in scope and potential and has been established itself as a profitable commodity in the international market.You may frown at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Great Thinkers, nimekuwa ni mpenzi (addicted?)i sana wa kutafuna chewing gum (bazoka) aina mbali mbali, mfano Big G, Bubblish, Batook, Special mint na kadhalika. Swali langu leo, je kuna madhara...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Ni mwaka mzima sasa naumwa mguu, unavimba hasa nikikaa muda mrefu kama ofisini hivi,nikilala unakuwa kawaida.Madaktari wanasema damu inaganda kwenye mishipa natakiwa kutumia anticoagulants maisha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana JF hivi inawezekana kweli kuwa mtoto hapumui akiwa tumboni na mama yuko normal tu, au sometime manesi wanakuwa wamechoka kupima tu, Hii inakuwaje embu nipeni mawazo yenu.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
natafuta tiba mbadala au dawa asilia iliyotafitiwa ya BHP kwa mtu yuko kijijini. Kwa sasa hivi anatumia urimax lakini zinakuwa nzito kwake. Nimeona ndugu moja akielezea dawa fulani katika kipindi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu, nimebaki na makovu meusi baada ya kupona fungus. Nini dawa ya kuondoa makovu hayo yaliyodumu kwa mwaka sasa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hey wanajamii nilikuwa na tatizo la anal fisure ambalo chanzo ni siku moja ambayo nilipata choo kigumu sana hali iliyo nisababishia maumivu sana wakati najisaidia toka hapo ndipo tatizo lilipo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiumwa na kichwa sana.nilipima na kukutwa na malaria nikatumia metachelphin alafu nikachoma sindano aina ya antmethor.lakin hakija tulia nikaenda kupima typhoid nikakutwa nayo nikaamua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HII PICHA IMEPIGWA MIDA GANI JIONI MCHANA ASUBUHII AU MAGHARIBI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina sister wangu yeye ni mjamzito, uja uzito wake una tkribani miezi kama sita hivi.<br /> <br /> katika kipindi hiki alichokuwanacho, kuna baadhi ya matatizo huwa yanamtokea kama vile kufa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hili jambo niliambiwa kitambo, ila leo naomba tulijadili. Natanguliza maombi yangu ya msamaha kwa nitakao wakwaza. Jambo lenyewe ni kwamba, jamaa liidai kwamba pindi mimba inapotunga ndani ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa... Nasumbuliwa sana na kiungulia mwenye kujua dawa yake aniambie...thanks in advance...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na mapele ya ndevu kwa muda mrefu sana kila ninaponyoa huwa natokwa sana na vipele kwa yeyote anaejua tiba msaada wenu jamani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ninamwenzangu ambaye yeye hayupo jf na ameniomba niliwasilishe hili kama anaweza kupata ushauri.Anaomba kujua jinsi atakavyoweza kuacha kufanya punyeto anatamani kuwacha lakini bado inakuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom