msaada

exaudjoshua

Member
Aug 13, 2011
9
0
ninamwenzangu ambaye yeye hayupo jf na ameniomba niliwasilishe hili kama anaweza kupata ushauri.Anaomba kujua jinsi atakavyoweza kuacha kufanya punyeto anatamani kuwacha lakini bado inakuwa ngumu,na pia ameanza kusikia maumivu kwenye magoti na anapo chuchuma yanalia kama vile ute umekwisha kwenye magoti je na hilo pia linasababishwa na punyeto?He needs your help.
 
Kijana atakua muda mwingi anawaza ngono.Mwambie kua punyeto inadhoofisha mwili hasa kama atakua anafanya kila siku.Nina imani hata afya yake haipo vzuri.
Huyo ameathirika kisaikolojia na kuacha kwake nafikiri mpk apelekwe kwa wataalam kwa ushauri zaidi.au ni wewe mwenyewe nini?usione noma mkuu,sema usikike!
 
Fanya mazoezi sana na jiweke bize, achana na mawazo ya ngono. Zaidi waone wataalamu wa saikolojia watasaidia.
 
ninamwenzangu ambaye yeye hayupo jf na ameniomba niliwasilishe hili kama anaweza kupata ushauri.Anaomba kujua jinsi atakavyoweza kuacha kufanya punyeto anatamani kuwacha lakini bado inakuwa ngumu,na pia ameanza kusikia maumivu kwenye magoti na anapo chuchuma yanalia kama vile ute umekwisha kwenye magoti je na hilo pia linasababishwa na punyeto?He needs your help.
Mkuu, mpaka magoti yanauna na unakiri ute magotini umekwisha!
Kwani kwa siku unapiga mara ngapi?
 
jamani wana jf mliokwisha changia mada hi na mmtakao chagia,this is real issue wapo vijana wengi sana ambao wamejikita kwenye hili tendo nipo nao mtaani na wanalalamika sana hasa pale tunapo kuwa mazoezini.Na wapo ambao wapo jf ambao wanafanya kitu hiki na waetungia jina wanaita CHAPUTA.So they need the real advise and not the jokes.I need u a suport on this.
<br />
<br />
we inaonekana u mmoja wao.teh teh teh teh!mtakufa vijana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom