Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

m'ke kuzaa akiwa & umri mkubwa sana (35....yrs) she is most likely kuzaa mtoto mlemav especially ulemav wa akili?{tahira}
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani naomba msaada ninatatizo la kupitiliza kwenye kubleed na damu yatoka nyingi sana tatizo ni nini
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Scientists have found that babies whose mothers have HIV, but are not HIV-infected themselves, are born with lower levels of specific proteins in their blood called antibodies, which fight...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Pornography blamed for five-fold rise in genital cosmetic surgery requests by women The demand for genital cosmetic surgery among women has risen five-fold in just 10 years, according to NHS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari,naomba nisaidiwe juu ya namna yakupunguza unene.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF, binafsi nina tatizo la mba kichwani kwa zaidi ya miaka 10 sasa tatizo ambalo linaninyima raha. Nimetumia shampoo tofauti tofauti bila mafanikio, nifanyeje kuondokana na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wakuu. ebwana wakuu kuna katatizo kananisumbua saivi kuhus tumbo. yaan unakuta frequently kama linaunguruma ivi au kama la kwenda haja halaf hata ukienda haja ni soft faeces hata kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF, Naombeni mnishauri dawa gani ya kimasai au ya kitaalam ya kutumia ili kuimarisha mishipa ya mashine yangu.na zinapatikana wapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Summer's the ideal time to pamper yourself with a manicure and pedicure—a bright fresh polish looks great when your feet are on display. But before you stroll into your neighborhood nail salon...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamii me ni kijana wa miaka 29, tatizo langu ni kuwa na mashine ambayo kusema kweli ni kubwa...kila ninapokutana na mwanamke huwa naishia tu kugomewa. yaani mpaka nimeamua tu kuwa mtu wa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Hello wana JF! Mafua yamekua yakinisumbua mara kwa mara yaani kila baada ya kama wiki hivi ni lazima yatanipata na huwa naugua kwa zaidi ya siku tano mfululizo.nimekua nikitumia piliton na codril...
0 Reactions
25 Replies
51K Views
Ndugu zangu na mdogo wangu anasoma darasa la 7 sasa ila ameshakuwa matured tayari,ila ana tatizo kubwa la Kutoa harufu mbaya saaaaana mdomoni ni mithiri ya choo. hasa akiongea hata katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefika Hospiitali ya CCBRT tangia asubuhi ili nipime macho, cha kushangaza mpaka muda huu niko kwenye foleni! watu ni wengi ndio lakini wahudumiaji hawaendi na kasi kulingana na idadi ya watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiacha Muhimbili na CCBRT, kuna daktari gani wa macho ambaye anaaminika dar? please help me
0 Reactions
7 Replies
3K Views
heloooow!!!!!!!!!! habari zenyu bana wanajf naombeni msaada wa njia nzuri ya kumtahiri mtoto wa miezi minne kati ya hizi apa chini>.. 1,.kwa kutumia ring 2 kwa njia ya kawaida ya kukata...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Napenda kufahamu nitumiapo kondomu huchelewa kufika kilele tofauti nisipo tumia kondomu huwahi kufika kilele kwanini?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna kijana mmoja rafiki yangu anasumbuliwa na kuwashwa kwa ngozi pindi atokapo kuoga nimemuangalia ana vijipele vidogo vidogo kwenye vinyweleo vya ngozi. Hii ni nini jamani? Na tiba yake
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Healthiest Vegetables List of Vegetables[COLOR=#000000] The list of vegetables below can help you get healthy and stay healthy. How do we know these are the healthiest vegetables to eat...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nina tatizo la kusahau je? naweza kuongeza uwezo wangu wa kukumbuka.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The symptoms of seasonal allergies can put a real damper on your spring, summer or fall. Although 40 million Americans suffer from seasonal allergy symptoms, many also suffer from the side...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom