TiBA TA HII KITU JAMANI

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
hey wanajamii nilikuwa na tatizo la anal fisure ambalo chanzo ni siku moja ambayo nilipata choo kigumu sana hali iliyo nisababishia maumivu sana wakati najisaidia toka hapo ndipo tatizo lilipo anzia hadi sasa,,nkamuona dokta akanipa oitiment ya ku insert njia ya haja kubwa lakini naona bado napata maumivu sana baada ya haja kubwa naomben msaada zaid karibu miezi miwili sasa napata shida shida hii pamoja na kutumia dawa hiyo mda huo wote mwenye msaada zaidi tafadhari au anaye ijua dawa itakayo nisaidia naomba msaada au kama kuna dokta ninae weza mtafuta akanisaidiaa nipo mwanza plz help.
 
Pole ndugu yangu. Inaelekea choo kigumu kilikuchana, halafu kidonda kikapata infection. Jaribu kutumia "sitz bath" na antibiotic kama flagyl na chloramphenicol. Jinsi ya kutengeneza sitz bath: Chemsha maji yawe vuguvugu, weka chumvi kidogo na dettol. Weka mchanganyiko huu katika beseni pana, kaa humo kama kwa dakika 10 hivi. Fanya hivi mara mbili kwa siku.

All the same, go and see a doctor at Bugando.

Mungu atakusaidia.

Ningependa kupewa unavyo-progress.
 
Pole sana fuata huo ushauri GOD will bless u. Pia jitahidi sana kunywa maji kwa wingi na kula matunda bila kusahau papai ili kuweza kuendelea kupata choo kilaini.
 
pole ndugu yangu. Inaelekea choo kigumu kilikuchana, halafu kidonda kikapata infection. Jaribu kutumia "sitz bath" na antibiotic kama flagyl na chloramphenicol. Jinsi ya kutengeneza sitz bath: Chemsha maji yawe vuguvugu, weka chumvi kidogo na dettol. Weka mchanganyiko huu katika beseni pana, kaa humo kama kwa dakika 10 hivi. Fanya hivi mara mbili kwa siku.

All the same, go and see a doctor at bugando.

Mungu atakusaidia.

Ningependa kupewa unavyo-progress.
asante sana ndugu yangu nitafuata hayo ulo niambia ubarikiwe sana
 
Pole ndugu yangu. Inaelekea choo kigumu kilikuchana, halafu kidonda kikapata infection. Jaribu kutumia "sitz bath" na antibiotic kama flagyl na chloramphenicol. Jinsi ya kutengeneza sitz bath: Chemsha maji yawe vuguvugu, weka chumvi kidogo na dettol. Weka mchanganyiko huu katika beseni pana, kaa humo kama kwa dakika 10 hivi. Fanya hivi mara mbili kwa siku.

All the same, go and see a doctor at Bugando.

Mungu atakusaidia.

Ningependa kupewa unavyo-progress.

infection kwa miezi miwili, na hana symptoms nyingine zinazoambatana na infection zaidi ya maumivu...I dont think so.

Unahitaji kurudi kwa daktari (surgeon) akuevaluate tena. Japokuwa mara nyingi anal fissures huwa treated conservatively (bila surgery), lakini kuna kipindi inakuwa hakuna jinsi zaidi ya surgey. Pia kuna dawa nyingine zinazoweza kukusaidia kuzuia maumivu wakati wa kwenda choo kama daktari atashauri usubiri zaidi.
 
Mkuu ningeomba walau unisaidie jina la dawa hizo lakini pia maumivu haya huja baada ya kijusaidia ilanikiakaa kama masaa matatu hadi manne maumivu yanaisha ila nkienda tu haja tabu inarejea tena ivo ikitokea sijaenda haja siku nzima au mbili huwa sipati mauvu hata nikijaribu kukaza misuli ya haja kubwa
 
nakushauri sana sana jitahidi kadri uwezavyo kutumia matunda kwa wingi na chakula chenye fibers. inasaidia. maana nahisi unakuwa una constipation mkubwa. pia jitahidi kunywa maji kwa wingi sana ukiweza hata lita 3-4 kwa siku.
 
nakushauri sana sana jitahidi kadri uwezavyo kutumia matunda kwa wingi na chakula chenye fibers. Inasaidia. Maana nahisi unakuwa una constipation mkubwa. Pia jitahidi kunywa maji kwa wingi sana ukiweza hata lita 3-4 kwa siku.
nashukuru sana ndugu kwa ushauri nayafanyia kazi yote ubarikiwe sana
 
nakushauri sana sana jitahidi kadri uwezavyo kutumia matunda kwa wingi na chakula chenye fibers. inasaidia. maana nahisi unakuwa una constipation mkubwa. pia jitahidi kunywa maji kwa wingi sana ukiweza hata lita 3-4 kwa siku.
NASHUKURU SANA  NDUGU KWA USHAURI NAYAFANYIA KAZI YOTE UBARIKIWE SANA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom