Eti mtoto hapumui tumboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti mtoto hapumui tumboni

Discussion in 'JF Doctor' started by Mazogola, Aug 17, 2011.

 1. Mazogola

  Mazogola Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF hivi inawezekana kweli kuwa mtoto hapumui akiwa tumboni na mama yuko normal tu, au sometime manesi wanakuwa wamechoka kupima tu,
  Hii inakuwaje embu nipeni mawazo yenu.
   
 2. JS

  JS JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hamishia jukwaa la JF Doctor...utapata majibu sawia kwani kule kuna madaktari pia.
   
 3. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  biology ya o level hiyo! kafa huyo!
   
 4. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli lakini usirogwe ukamkutanisha Mkeo na Dr. Kapiteni wa TMJ!
   
 5. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamani na mimi nina shida sana na hili jibu.wajuzi tujuzeni tafadhali
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mtoto huwa hapumui akiwa tumboni mwa mama yake...mimba inapotunga katika maendeleo ya mwanzoni kabisa ni kutengeneza chupa ya uzazi au 'amniotic sac' (ile kwa kawaida inapasukaga wakati wa kuzaa halafu maji yanamwagika), ambayo ni kama mfuko fulani hivi ambamo ndani kunakuwa na majimaji (amniotic fluid)...mtoto anakuwa ndani ya maji hayo, hivyo hawezi kupumua kama ambavyo mtu mzima hawezi kupumua akiwa ndani ya bahari au swimming pool!

  Mtoto anakuwa anapata kila atakacho kutoka kwa mama yake kupitia placenta na kitovu (umbilical cord). Kitu ambacho wahudumu wa afya wanapima kwa kusikiliza na kila chombo kama pia hivi kinaitwa 'fetoscope' ni mapigo ya moyo ya mtoto, na vile mtoto kucheza (fetal quickening). Kama mtoto hachezi na mapigo ya moyo hayasikiki, then hiyo ni emergency inayohitaji hatua za haraka kujua kama mtoto yu hai au la.
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kama huna imani na nesi unaenda hospitali kufanya nini?
   
Loading...