Tatizo la mba

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu wana JF, binafsi nina tatizo la mba kichwani kwa zaidi ya miaka 10 sasa tatizo ambalo linaninyima raha.

Nimetumia shampoo tofauti tofauti bila mafanikio, nifanyeje kuondokana na tatizo hilo?
 
Hili ni tatizo la wengi, naamini kuna mtu ataweza walau kukuelekeza sehemu ya kumpata 'skin specialist' na kama yupo hapa JF basi atakupa maelekezo ya nini ufanye.

Pole mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom